Chrisludos
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 135
- 41
Swali zuri sana.. What's so special about our earth, coz kuna sayari nyingi kubwa zaidi..kwa nini kusiwe na viumbe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata chura ni chakula kwa baadhi ya jamii duniani...siyo ugali tu!
...Kama unaamini binadamu alikua nyani na uwepo wa allies na hivo hivo, hizo ni story tu za wanasayansi. Zamani nilikua naamini uwepo wa zombie na vampire kwa kuwaona tu kwenye movie
Kwanza, mi naamini hawa majamaa (Alliens) wapo, nimechunguza sana kwenye youtube nimeona hilo na ni wapo kabisa...
Mi hata siwaelewi mnabishania kitu gani hapa....we amini tu kua hakuna mtu anaepatikana nje ya dunia tunayo ishi hata vitabu vya dini vinaeleza hilo hayo mambo ya alliens sijui nani ni mbwembwe za wazungu hakuna lolote...
Hivi ni vitu visivyotambulika vinavyopaa au kudondoka kutoka angani. Vitu hivi vinatajwa kuwa na uhusiano mkubwa na aliens na wanasayansi wa Kimarekani.
Hizi UFO zipo za aina mbili. Kuna zinazotoka katika uso wa dunia ambako kuna watu waliostaarabika. UFO nyingine ipo nje ya uso wa dunia inawezekana angani au katika sayari nyingine.
Ukiachilia mbali vimondo unaweza ukaona kitu kinangaa angani na ghafla kikapotea kutokana na spidi yake. Hizo ndizo UFO.
Mara nyingi vitu hivi vimekuwa vikionekana katika rada za duniani akiwemo aliens maarufu waitwao Ashar Sheran na Valiant Thor kutoka Sayari ya Venus.
Inasemekana kuwa nchi zilizoendelea hasa Marekani huwa hawataki vitu kama UFO au hawa aliens wawe na ukjaribu na nchi masikini kwani nazo zitakuwa na nguvu ya kuzifikia au kuzipita kabisa.
Watu wengi hawafahamu kiundani kuhusu UFO. UFO ikipita kwa mdano Dar es Salaam, wakati wa shughuli za mchana inaweza kusababisha taharuki kwa watu na ajali nyingi kwa wakati mmoja.
Katika kutafuta undani juu ya mambo haya, mtunzi na mwandishi mashuhuri duniani, James Hadley Chase kupitia kitabu chake cha Dooms Day Conspiracy alijaribu kuelezea habari za hawa UFO vizuri, namna serikali kubwa zinavyoficha uwepo wa aliens na UFO kwa kuhofia kuzusha hofu kwa raia.
Ukweli utabaki palepale kuwa kuna viumbe wanaoishi nje ya dunia ambao wana teknolojia kubwa kuliko ya binadamu na kinachotokea mara kwa mara ni kwamba huwa vyombo vyao angani vinakuja duniani.
Unakumbuka kile chombo cha aliens kilichodondoka nchini Mexico? Ilisemekana kuwa kilipodondoka tu ndege za kijeshi za Kimarekani zilifika ndani ya muda mfupi ambapo wanasayansi walikibeba na kukipeleka makao yao makuu, NASA. Wanasayansi watano wa Marekani waliowahi kujishughulisha sana na utafiti juu hawa viumbe walifanikiwa kugundua lugha yao.
Mmoja wa wanasayansi hao alipojaribu kuvujisha siri katika vyombo vya habari, wanasayansi hao walipotea katika mazingira ya kutatanisha na hawakuonekana tena.
Nchi kubwa kama Urusi, Marekani, China, Uingereza na Japan zina hofu kubwa juu ya aliens kwamba wakipata nafasi ya kujitanua kiteknolojia hapa duniani itakuwa ndiyo mwisho wa ustaarabu wa binadamu ndiyo maana zinajitahidi sana kuzuia au kujipa wenyewe teknolojia yao ili itakapotokea aliens wakavamia duniani wao wawe tayari wamejiweka vizuri.
Haaa haaa haaaaa! unachunguza kwenye youtube? umetumia nn kuchunguza?
Hujanielewa Mokoyo. Nimemaanisha kama vile tunavyoaminishwa kua binaadamu alikua sokwe kitu ambacho hakiwezekani, ndio vile vile tunaaminishwa kuhusu allies, siamini kua viumbe hao wapo
Mkuu, hapa hakuna cha utata wala nini, wapo kibao hao viumbe vipenzi, uhalifu kwa kweli hatujawahi kuishi nao ila kiukweli kwa mujibu wa wanasayansi, ni wakorofi sana kama tukikwaruzana nao
Jamani husikasirike......sina nia mbaya.....yani nakumbuka ka "movie" flani kuhusu vampires.
mkuu hawa viumbe wapo kabisa, ingawa mataifa makubwa yanajaribu kuficha hasa marekani yanajaribu kuficha uwepo wao. ngoja nitafute kijitabu changu nilichohifadhi info mingi kuhusa hawa viumbe. Alien Species Wiki - Aliens, UFOs, Space aliens