Hivi Alliens wanakula chakula gani?

Hivi Alliens wanakula chakula gani?

binadamu hakuwahi kuwa nyani NGO labda tunafanana tu.but aliens wapo tena wa aina nyingi wanaotoka ktk sayari jirani ambazo baadhi hazija tambulika,
 
Kwanza kabisa naomba nianza kwa kusema "Inawezekana kwamba hawa viumbe "alliens" wapo,lakini hatuna uhakika, --ni kitu kinachowezekana kabisa".Inawezekana kwamba Alliens wapo kwasababu hadi sasa sisi wanadamu,tumefanikiwa kufanya utafiti kwenye galaxy moja tu ulimwenguni,na kisayansi kuna galaxy billioni 170 (1.7 × 10[SUP]11[/SUP]).Hizi sayari tunazozijua sisi,zote zipo kwenye hii galaxy moja,kama sikosei inaitwa "Nebulla".So kwa kutafakari kwa kawaida tu,kama kwenye galaxy yetu hii moja kuna uwezekano wa maisha katika sayari ya dunia na Mars,basi kuna possibility kubwa sana kwamba kuna maisha kwenye hizo galaxies zingine.
--Uwezekano mwingine ni kwamba wapo ni kwamba,huko nje kuna micro-organisms kama huku,japo zote zilizogunduliwa hadi sasa ni fossils.Naamini wanajua wenyewe wanachokula ili waishi,so lazima kuna ka-food chain hapo.Japo sijajua exactly hao mabwana wanakula nini.
--Inawezekana pia hii ikawa ni "science fiction" ili watu wafanye utafiti,watengeneze movies wapate hela,na wengine wapoteze muda wao(kama mimi nilivyoandika hii post)
--Itambulike kwamba kutoka galaxy moja kwenda nyingine,inachukua miaka mingi ya mwanga,kitu ambacho,sisi kama wanaadamu bado hatujafikia teknolojia ya kusafiri mbali hivyo,ili kujua ukweli,its either tuwasubiri wafike huku kwetu ndio tuwaulize wanakula nini,au sisi twende kwao.

Inawezekana nimepindisha mada kidoogo,bt najua itasaidia kwa watu wanaopenda kufahamu zaidi kuhusu alliens.....Jibu sahihi kwa sasa ni kwamba HATUJUI LAKINI INAWEZEKANA KWAMBA ALLIENS WAPO.
CC
: LIKUD , Bujibuji , Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Every Thing That Contradict The Quraan Is Wrong And Anything That Contradict The Teachings Of Prophet Muhammad(peace Be Upon Him)also Is Wrong,the Quraan Is 100% The Word Of Allah.
 
Alliens wanaoitwa Azontophobia wanatengeneza concentrated fluids ambazo zina virutubisho vyote vinavyohitajika kwa mwili wa binadamu
 
Mwisho watu wataamini hata Tom and jerry wapo!

Kwani Tom hayupo.........na Jerry pia.......?......puliiiz..........
yaani wale sitachoka kuwaangalia hata nikiwa na miaka 90........me love zem bana.........
 
Kisayansi vipo hivyo viumbe na husemekana vina akili sana ndio maana kwetu ni fumbo maana huelea angani (un identified floating objects=UFO).Cha kula sifahamu maana hatujui wanatokea sayari gani na kama wana mimea na wanyama.Tulikuwa na sayari tisa sasa tuna ngapi?

weka picha!!
 
binadamu hakuwahi kuwa nyani NGO labda tunafanana tu.but aliens wapo tena wa aina nyingi wanaotoka ktk sayari jirani ambazo baadhi hazija tambulika,

Hivi sayari iliyopo jirani na hapa ni ipi.........nataka kwenda kula bata huko.........YOLO you know.........
 
Kisayansi vipo hivyo viumbe na husemekana vina akili sana ndio maana kwetu ni fumbo maana huelea angani (un identified floating objects=UFO).Cha kula sifahamu maana hatujui wanatokea sayari gani na kama wana mimea na wanyama.Tulikuwa na sayari tisa sasa tuna ngapi?

zipo nane.
 
Aliens wanaweza kuweka chombo chao,mothership,kati ya venus na dunia halafu wewe ukadhani unaitazama venus kumbe unawatazama wao. Sijui kama wapo astronomers hapa,lakini Commander Hatonn anasema nyota zinazotoa rangi,blue,yellow,green,siyo nyota,ni craft zao zimetoka Pleiades Constellation. Aliens wanatuma wawakilishi duniani katika summit meetings. Ili aliens wafike au watue Tanzania itabidi uwaambie wanajeshi wasiwatungue. Sijui nani hapa ni mtaalamu wa electronics ambaye anaweza kutuambia kama anaweza kuipata shortwave 16.9433 radio band katika satellite antenna kwa sababu Phoenix Command ya Commander Hatonn wanabroadcast katika radio band hiyo. Pia ndio frequency ya visibility ya craft zao. Anasema message zinasikika na wapo wengi wanazisikia. Kwa hiyo,watu wa electronics watueleze kuhusu hili,wanaweza kuipata 16.9433 short wave ? Kama inawezekana wamweleze Rais Kikwete.
 
Ila wewe jamaa inawezekana ni aliens pia,..maake unayoandika ni tungo tata kweli kweli lakn ukisoma between lines kuna vitu unamaanisha.
 
Back
Top Bottom