Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
binadamu hakuwahi kuwa nyani NGO labda tunafanana tu.but aliens wapo tena wa aina nyingi wanaotoka ktk sayari jirani ambazo baadhi hazija tambulika,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho watu wataamini hata Tom and jerry wapo!
Kisayansi vipo hivyo viumbe na husemekana vina akili sana ndio maana kwetu ni fumbo maana huelea angani (un identified floating objects=UFO).Cha kula sifahamu maana hatujui wanatokea sayari gani na kama wana mimea na wanyama.Tulikuwa na sayari tisa sasa tuna ngapi?
binadamu hakuwahi kuwa nyani NGO labda tunafanana tu.but aliens wapo tena wa aina nyingi wanaotoka ktk sayari jirani ambazo baadhi hazija tambulika,
Wanakula viepe
Burger
Pizza
Kwanza, mi naamini hawa majamaa (Alliens) wapo, nimechunguza sana kwenye youtube nimeona hilo na ni wapo kabisa...
Kisayansi vipo hivyo viumbe na husemekana vina akili sana ndio maana kwetu ni fumbo maana huelea angani (un identified floating objects=UFO).Cha kula sifahamu maana hatujui wanatokea sayari gani na kama wana mimea na wanyama.Tulikuwa na sayari tisa sasa tuna ngapi?
Tujadili kuhusu hili
Aliens wanaweza kuweka chombo chao,mothership,kati ya venus na dunia halafu wewe ukadhani unaitazama venus kumbe unawatazama wao. Sijui kama wapo astronomers hapa,lakini Commander Hatonn anasema nyota zinazotoa rangi,blue,yellow,green,siyo nyota,ni craft zao zimetoka Pleiades Constellation. Aliens wanatuma wawakilishi duniani katika summit meetings. Ili aliens wafike au watue Tanzania itabidi uwaambie wanajeshi wasiwatungue. Sijui nani hapa ni mtaalamu wa electronics ambaye anaweza kutuambia kama anaweza kuipata shortwave 16.9433 radio band katika satellite antenna kwa sababu Phoenix Command ya Commander Hatonn wanabroadcast katika radio band hiyo. Pia ndio frequency ya visibility ya craft zao. Anasema message zinasikika na wapo wengi wanazisikia. Kwa hiyo,watu wa electronics watueleze kuhusu hili,wanaweza kuipata 16.9433 short wave ? Kama inawezekana wamweleze Rais Kikwete.