Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Tujadili kuhusu hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujadili kuhusu hili
Kisayansi vipo hivyo viumbe na husemekana vina akili sana ndio maana kwetu ni fumbo maana huelea angani (un identified floating objects=UFO).Cha kula sifahamu maana hatujui wanatokea sayari gani na kama wana mimea na wanyama.Tulikuwa na sayari tisa sasa tuna ngapi?
Kabla haujaanza kuuliza wanakula nini, ingekuwa vyema ukawa na uhakika kama wapo ? Unless haumaanishi UFO, bali unamaanisha foreigners / people from another country
Uchunguzi wa kwenye You-Tube sio uchunguzi..., scientifically mpaka sasa, na according to known facts mpaka hivi sasa HAKUNA CONCLUSIVE EVIDENCE.., kwamba Aliens wapo let alone life beyond Earth.., Ingawa lack of evidence does not mean kwamba kitu hakipo, maybe kipo ila hakijagundulikaKwanza, mi naamini hawa majamaa (Alliens) wapo, nimechunguza sana kwenye youtube nimeona hilo na ni wapo kabisa...
Haaa haaa haaaaa! unachunguza kwenye youtube? umetumia nn kuchunguza?Kwanza, mi naamini hawa majamaa (Alliens) wapo, nimechunguza sana kwenye youtube nimeona hilo na ni wapo kabisa...
Kaka nadhani cha muhimu kwanza ni kujua hao Aliens ni watu wenye form gani, tatizo kubwa kila tunapofanya uchunguzi tunaweka kwanza theory ya kuwa hao Aliens ni kama sisi
inawezekana hawana form kama yetu, inawezekana wakawa ni kama maroboti tu ambayo yanajiendesha bila chakula
Kama unaamini binadamu alikua nyani na uwepo wa allies na hivo hivo, hizo ni story tu za wanasayansi. Zamani nilikua naamini uwepo wa zombie na vampire kwa kuwaona tu kwenye movie
Mkuu, hapo sasa alliens ni tofauti sana na binadamu, hata form ya mifupa ni tofauti sana
Mkuu unaamini kuwa binadamu alikuwa sokwe?Siamini uwepo wa allies. Kama yupo mtu anaamini hili anipe darsa lakusha hapa
Mkuu, hapo sasa alliens ni tofauti sana na binadamu, hata form ya mifupa ni tofauti sana
Mkuu unaamini kuwa binadamu alikuwa sokwe?
Tujadili kuhusu hili
Excactly! ni story za kusadikika ambazo huanzishwa makusudicaly ili kutimizi interests flani flani za watu flani flani.Hakuna kitu kama hicho mkuu, hizo ni story tu kama zilivyo kwa allies