Hivi Alliens wanakula chakula gani?

Hivi Alliens wanakula chakula gani?

Tujadili kuhusu hili

Kaka nadhani cha muhimu kwanza ni kujua hao Aliens ni watu wenye form gani, tatizo kubwa kila tunapofanya uchunguzi tunaweka kwanza theory ya kuwa hao Aliens ni kama sisi

inawezekana hawana form kama yetu, inawezekana wakawa ni kama maroboti tu ambayo yanajiendesha bila chakula
 
Kisayansi vipo hivyo viumbe na husemekana vina akili sana ndio maana kwetu ni fumbo maana huelea angani (un identified floating objects=UFO).Cha kula sifahamu maana hatujui wanatokea sayari gani na kama wana mimea na wanyama.Tulikuwa na sayari tisa sasa tuna ngapi?
 
Kama unaamini binadamu alikua nyani na uwepo wa allies na hivo hivo, hizo ni story tu za wanasayansi. Zamani nilikua naamini uwepo wa zombie na vampire kwa kuwaona tu kwenye movie
 
Mkuu hizi zote ni speculations haijawahi kuwa proved scientifically kwamba kuna life beyond Earth.., bado uchunguzi unaendelea lakini haijawa confirmed, lakini uwepo wa maji kwenye sayari ya Mars (kunapelekea ku-assume kwamba kuna some sort of life), Lakini hakuna mwenye uhakika zaidi ya conspiracy theories za hapa na pale.

Uwezekano mkubwa ni kwamba life itakuwepo lakini probably kama single cell organisms au bacterias. Hayo mambo ya UFOs ni Unidentified Objects (kwahio kitu chochote, watu wasichokielewa ni Unidentified Objects) ambazo consipracy theories wana-confirm kwamba ni aliens (in my opinion these are just fiction)
 
Kabla haujaanza kuuliza wanakula nini, ingekuwa vyema ukawa na uhakika kama wapo ? Unless haumaanishi UFO, bali unamaanisha foreigners / people from another country

Kwanza, mi naamini hawa majamaa (Alliens) wapo, nimechunguza sana kwenye youtube nimeona hilo na ni wapo kabisa...
 
Kwanza, mi naamini hawa majamaa (Alliens) wapo, nimechunguza sana kwenye youtube nimeona hilo na ni wapo kabisa...
Uchunguzi wa kwenye You-Tube sio uchunguzi..., scientifically mpaka sasa, na according to known facts mpaka hivi sasa HAKUNA CONCLUSIVE EVIDENCE.., kwamba Aliens wapo let alone life beyond Earth.., Ingawa lack of evidence does not mean kwamba kitu hakipo, maybe kipo ila hakijagundulika
 
Kaka nadhani cha muhimu kwanza ni kujua hao Aliens ni watu wenye form gani, tatizo kubwa kila tunapofanya uchunguzi tunaweka kwanza theory ya kuwa hao Aliens ni kama sisi

inawezekana hawana form kama yetu, inawezekana wakawa ni kama maroboti tu ambayo yanajiendesha bila chakula

Mimi kwenye mitandao wanasema wapo wenye form tofauti tofauti, kuna warefu, wa kati na wafupi, sasa wale wafupi sana inasemekana wanaitwa Grey Alliens, sasa hao ndo wenye akili na wana tabia ya kuchungulia kwa kuinuka juu tu na unaona kichwa kinatokeza kwa juu tofauti na sisi binadamu ambao tunachungulia kwa staili yoyote kulingana na mazingira, hawana nywele popote kwenye miili yao, kinachonipa shida ni kwenye misosi yao
 
Kama unaamini binadamu alikua nyani na uwepo wa allies na hivo hivo, hizo ni story tu za wanasayansi. Zamani nilikua naamini uwepo wa zombie na vampire kwa kuwaona tu kwenye movie

Mkuu, hapo sasa alliens ni tofauti sana na binadamu, hata form ya mifupa ni tofauti sana
 
Mpaka sasa wana sayansi wanachunguza ingawa kila kukicha wanagundua sayari mpya pia viumbe wapo aina nyingi tukiacha ya sayansi kwani sayansi inavumbua vitu na kufanya utafiti.Tunaamini Mungu ndie alieumba viumbe vyote tunavyovijua na tusivyovijua naye ndie (Lord of all worlds) kwa hiyo wapo viumbe wengi na extraterrestrial ni viumbe kama wanatembea kwa tumbo au miguu miwili au minne au wanapaa yote inawezekana lakini wanakula nini hiyo pia inategemea wanaishi kwenye mazingira gani
 
Back
Top Bottom