Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwaona lini?
Wapi?
Tujadili kuhusu hili
Kama una access ya mtandao upo karibu, youtube ndo mahala unaweza ukabahatika kusafisha macho kuhusu hao viumbe, ila kuna mmoja walimfungia ndani kwenye chumba ambacho kina kadirisha kadogo, huyo grey allien alijaribu kukimbia kupitia dirishani akashindwa, mlango ulipofunguliwa tu haraka sana akarudi pale walipomuacha kwenye kile kichumba na camera waliiweka ili wamsome vizuri tabia za hao allien
Mkuu, hapo sasa alliens ni tofauti sana na binadamu, hata form ya mifupa ni tofauti sana
kwanza udefine aliens ni nini? as far as many are concerned ni evil spirits isipokuwa secularists who dont believe in God ndiyo wanasema alien.
Mkuu unaamini kuwa binadamu alikuwa sokwe?
kwanza udefine aliens ni nini? as far as many are concerned ni evil spirits isipokuwa secularists who dont believe in God ndiyo wanasema alien.
kwa hiyo wewe uchunguzi wako ni utube?. Huko kuna mpaka mtu samaki lakini ni wa kuchongwa!
Sasa na wewe ndo unakoroga mambo kabisa...
Kwahiyo, itokee siku moja sayari ya Mars kukawa na uhai na viumbe wanaishi basi ni evil spirits......???
Kwanza umeshasema roho, je roho inaonekana....? Inaonekana na wewe ni kama mleta mada wote ni watu wa kuambiwa kila kitu..
Alliens ni viumbe kabisa tena vina mifupa kabisa, sema form yao ni tofauti na za kibinadamu, hata wenyewe kuna weupe na weusi kama kulivyo huku duniani
Aliens wanakula chips yai, isikauke sana na ukwaju kwa mbali.
Hahahahahaaaa!Kama una access ya mtandao upo karibu, youtube ndo mahala unaweza ukabahatika kusafisha macho kuhusu hao viumbe, ila kuna mmoja walimfungia ndani kwenye chumba ambacho kina kadirisha kadogo, huyo grey allien alijaribu kukimbia kupitia dirishani akashindwa, mlango ulipofunguliwa tu haraka sana akarudi pale walipomuacha kwenye kile kichumba na camera waliiweka ili wamsome vizuri tabia za hao allien
Kisayansi vipo hivyo viumbe na husemekana vina akili sana ndio maana kwetu ni fumbo maana huelea angani (un identified floating objects=UFO).Cha kula sifahamu maana hatujui wanatokea sayari gani na kama wana mimea na wanyama.Tulikuwa na sayari tisa sasa tuna ngapi?
Aliens wanakula chips yai, isikauke sana na ukwaju kwa mbali.