Kule laliga anaanza kupoteza mwelekeo hivyo anaweza kuwekeza nguvu zaidi huku na ukizingatia Madrid kwenye hii michuano huwa Hana mchezoKwa muendelezo wa matokeo yasiyoridhisha kwa Real Madrid naweza mpa nafasi Arsenal lakini nafasi hiyo ni ndogo sana maana Real Madrid haitabiriki kwenye haya mashindano.
Hala Madrid!
acheki na wowote hizi hatuaReal Madrid akishafikia hizi hatua za mtoano huwa anakuwa mkatili sana. Ila ngoja tusubiri tuone.
Acha dharau dogoArsenyeto afanye amfurushe Madrid hii leo,
Aweke heshima uraiani. Lol
ndiye atakaye bingwa wa UEFA CL kama AL AHLY tu.Madrid sio wazuri sana msimu huu
Sio tu sio Wazuri kimsingi ni wabovu kabisa sema Spain league ni kama NBC hata Simba na Yanga wakicheza under 20 bado mmoja atakuwa bingwa na mwingine nafasi ya piliMadrid sio wazuri sana msimu huu
Dharau zipi hizo?Acha dharau dogo