United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
na hawa kina kimweri au nani mwingine fainali ya msimu huu ni Real madrid vs inter milan au Real madrid vs barcelona au Psg vs inter milanMadrid leo atapigwa vibaya sana
na hawa kina kimweri au nani mwingine fainali ya msimu huu ni Real madrid vs inter milan au Real madrid vs barcelona au Psg vs inter milanMadrid leo atapigwa vibaya sana
Madrid si ni mbio tu za mbape na vinicius,watapigiwa pasi na kufungwa watafungwaKama arsenal wakianua kuiheshimu masdrid na kujilinda vizuri
pia kua hatari yaani kushambulia kwa caunta ila kwa uhakika na kutumia nafasi wanaweza kuifunga madrid vizuri tu.
Ila wakiwa machachari kupiga mpira mwingiiiii watapigwa kama ngoma
Sawa majibu tutayapata baadae.na hawa kina kimweri au nani mwingine fainali ya msimu huu ni Real madrid vs inter milan au Real madrid vs barcelona au Psg vs inter milan
Yuko vizuri sana Arsenal,ila wasimpange Saka naona kama bado ana maumivu, mguu wake haujakaa sawa...Leo ni usiku wa ulaya.
Kazi ni moja tu, kutazama mechi mbili kabambe za robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.
Kuna Bayern Vs Inter.
Afu kuna Arsenal Vs Real Madrid.
Kabla ya kupoteza usingizi huko kwenye mabanda ya mpira, nauliza Arsenal ana kikosi kweli cha kumzuia Real Madrid?
Arsenal anampiga vyema tena 3-1 madrid hana kikosi cha kumfunga arsenal sahau madrid saiv ni mbovu tena yeye ndo aingie kwa kumuheshimu arsenal trustKama arsenal wakianua kuiheshimu masdrid na kujilinda vizuri
pia kua hatari yaani kushambulia kwa caunta ila kwa uhakika na kutumia nafasi wanaweza kuifunga madrid vizuri tu.
Ila wakiwa machachari kupiga mpira mwingiiiii watapigwa kama ngoma
Na shirikisho la FA lipo upande wa madridView attachment 3296826
Asanali muwe Makini Sana Jamaa hawako peke Yao.
Anapiga kichwani tuarsenal yupo anawanyoosha huko
PoleLeo ni usiku wa ulaya.
Kazi ni moja tu, kutazama mechi mbili kabambe za robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.
Kuna Bayern Vs Inter.
Afu kuna Arsenal Vs Real Madrid.
Kabla ya kupoteza usingizi huko kwenye mabanda ya mpira, nauliza Arsenal ana kikosi kweli cha kumzuia Real Madrid?
Yani www una akili kuliko mhindi au mrusi.Nimeshangazwaa na wawekezajii,wameweka mtegooo balaaa.... Madrid et odd 4🤣🤣
Keshaliwa 3 na mpira haujaisha.Leo ni usiku wa ulaya.