Hivi Arsenal ana kikosi cha kumfunga Real Madrid leo?

Hivi Arsenal ana kikosi cha kumfunga Real Madrid leo?

Sio leo bali ni msimu huu wote , hakuna mkubwa ambaye hajapigishwa saka ball na Arseno , nitajie timu yako kubwa ambayo imepata pumz dhid ya Arseno msimu huu
Hii hapa
IMG_20250409_000416.jpg
 
Leo ni usiku wa ulaya.

Kazi ni moja tu, kutazama mechi mbili kabambe za robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.

Kuna Bayern Vs Inter.
Afu kuna Arsenal Vs Real Madrid.

Kabla ya kupoteza usingizi huko kwenye mabanda ya mpira, nauliza Arsenal ana kikosi kweli cha kumzuia Real Madrid?
Ameshampiga MTU vitatu vya mkwezi
 
Karibu platnam credit kupata huduma ya mkopo wa kuagiza gari toka Japan Kwa mkopo wa 55%ya gaharama za gari mpaka linakufikia.
Pia tunatoa mikopo ya Hadi 45% Kwa kununua gari yadi pia tunatoa mikopo ya ushuru wa gari bandalini Kwa asilimia 80% karibu..call 0784087481
Wewe ni Me au Ke?
 
Back
Top Bottom