Hivi Arsenal ana kikosi cha kumfunga Real Madrid leo?

Hivi Arsenal ana kikosi cha kumfunga Real Madrid leo?

Arsenal wamekuwa wakichukuliwa Dhaifu sana kwa Kupindi kirefu ni kweli walikuwa dhaifu na hili ni sababu za mabadiriko hapa kati kati na hiki kipindi ndio kimewakuta wengi wakiwa na acsess ya kutizama mpira na kuchagua Team zao ambazo muda ule zilikuwa zinafanya vizuri tu hii mindset ipo kwa muda mrefu sana unakuta hadi Mdada kaanza kushabikia Simba ya akina Kagere nae anakwambia Arsenal hakuna Team sijui Arsenal hawezi Beba kombe ni kweli hawezi ila kuna muda mpira uheshimiwe mpira usemewe kulingana na Analysis ya wakati uliopo tu Madrid ni Team mbovu kwasasa Team imejichokea sana FBs, Wale Midfields wao ni Takataka hii sio Madrid ile ya kubeba back to back iliyokuwa na vipaji haswa na wavuja jasho

Leo unategemea watu kama akina Camavinga/Tchoumen/valverde ambao si viungo smart kiasil wavunja kuni wakupe nini!??

Muwe mnatizama hata Barcelona anavyo inyanyasa san akikutana nayo anaexpose udhaifu wao afu anakiuja mtu toka sijui Najilinji au Kaliua sijui Sangumwalugesha ndani ndani nae anahojo Arsenal anakikosi kipi cha Kuifunga Madrid

Mpira sio Historia mpira ni wakati uliopo ulivyojipanga wachezaji, Ufundi wa Mwalimu namna nzuri ya kutumia mbinu na kumsoma mpinzani wakati huo Juhudi na Bahati!!
 
Leo ni usiku wa ulaya.

Kazi ni moja tu, kutazama mechi mbili kabambe za robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.

Kuna Bayern Vs Inter.
Afu kuna Arsenal Vs Real Madrid.

Kabla ya kupoteza usingizi huko kwenye mabanda ya mpira, nauliza Arsenal ana kikosi kweli cha kumzuia Real Madrid?
Mtu Kala tatu uku
 
Madradaaa leo kaingia cha kishoga, yaan kasukumwa nyama, kabaki tepe tepee.
😂😂😂😂😂😂
 
Halaaaaaah!

Screenshot_20250417-122337~2.jpg
 
Leo ni usiku wa ulaya.

Kazi ni moja tu, kutazama mechi mbili kabambe za robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.

Kuna Bayern Vs Inter.
Afu kuna Arsenal Vs Real Madrid.

Kabla ya kupoteza usingizi huko kwenye mabanda ya mpira, nauliza Arsenal ana kikosi kweli cha kumzuia Real Madrid?
Muwe mnaweka akiba ya maneno.
 
Back
Top Bottom