Hivi Arsenal ana kikosi cha kumfunga Real Madrid leo?

Kama arsenal wakianua kuiheshimu masdrid na kujilinda vizuri

pia kua hatari yaani kushambulia kwa caunta ila kwa uhakika na kutumia nafasi wanaweza kuifunga madrid vizuri tu.

Ila wakiwa machachari kupiga mpira mwingiiiii watapigwa kama ngoma
Madrid si ni mbio tu za mbape na vinicius,watapigiwa pasi na kufungwa watafungwa
 
Yuko vizuri sana Arsenal,ila wasimpange Saka naona kama bado ana maumivu, mguu wake haujakaa sawa...
 
Kama arsenal wakianua kuiheshimu masdrid na kujilinda vizuri

pia kua hatari yaani kushambulia kwa caunta ila kwa uhakika na kutumia nafasi wanaweza kuifunga madrid vizuri tu.

Ila wakiwa machachari kupiga mpira mwingiiiii watapigwa kama ngoma
Arsenal anampiga vyema tena 3-1 madrid hana kikosi cha kumfunga arsenal sahau madrid saiv ni mbovu tena yeye ndo aingie kwa kumuheshimu arsenal trust
 
HT Arsenal 0 0 Madrid
Bayern 0 1 Inter
 
Pole
 
Keshaliwa 3 na mpira haujaisha.
Hii tunavuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…