Mtu Kala tatu ukuLeo ni usiku wa ulaya.
Kazi ni moja tu, kutazama mechi mbili kabambe za robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.
Kuna Bayern Vs Inter.
Afu kuna Arsenal Vs Real Madrid.
Kabla ya kupoteza usingizi huko kwenye mabanda ya mpira, nauliza Arsenal ana kikosi kweli cha kumzuia Real Madrid?
Nimefurahi hatariiii, na Mamelodi kaenda Semi, yaan Leo Simba akifuzu, bas hii week mie ni full burudaaniiii. AiiiihMbona real kafungwa
πππππVardrid mmeona Chuma inaganda kwa hewa ?View attachment 3297334
Simba hawezi kufuzuNimefurahi hatariiii, na Mamelodi kaenda Semi, yaan Leo Simba akifuzu, bas hii week mie ni full burudaaniiii. Aiiiih
Basi sawa, wacha tuonee.Simba hawezi kufuzu
Muwe mnaweka akiba ya maneno.Leo ni usiku wa ulaya.
Kazi ni moja tu, kutazama mechi mbili kabambe za robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.
Kuna Bayern Vs Inter.
Afu kuna Arsenal Vs Real Madrid.
Kabla ya kupoteza usingizi huko kwenye mabanda ya mpira, nauliza Arsenal ana kikosi kweli cha kumzuia Real Madrid?
Madrid sio wazuri sana msimu huu