Hivi Arusha na Moshi ni mchezo gani unachezwa zaidi?

Hivi Arusha na Moshi ni mchezo gani unachezwa zaidi?

c5ffcc139f00b7889d8b1c5a8cfd1b4e.jpg
838ee2ab046d7fb2c256213e28291332.jpg
40438d6814e60ef82b0e70778afadfd1.jpg
karibu Arusha na Moshi Chalii

nije kufanyeje sasa kama ni wanyama hata kwetu mikumi wapo, hata bunda pia wamejaa
 
nije kufanyeje sasa kama ni wanyama hata kwetu mikumi wapo, hata bunda pia wamejaa
Point yako ilikuwa Arusha na moshi tunavuta tu bang!nimekutaarifu vijana wa moshi na arusha tupo kwenye utalii na tanzanite usitudharau chalii.Upo mikum ndio ushawai pata sh ngap tukokana ina iyo mikum?asilimia kubwa vijana wa Arusha na moshi ndio tunalamba dola
 
naona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL . na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. ni mchezo gani unachezwa sana huko?

Huko mchezo wao mkubwa ni kushindana tu kuvuta Bangi kuanzia Kete 15 hadi 30 na kula Mirungi mifuko 10 hadi 15.
 
Kaskazini hatupendi figisu na fitna... Tulikuwa na timu zetu (palson, AFC na nyingine) zikapigwa figisu paka tukaona tuachane na mambo ya mpira tukasake mapene
 
Exactly men... Arusha Ni Rugby City.. Ina team zaid ya 6 ya under 20 na Wakubwa ambayo inaitwa Rhino plus watoto wa primary schools ambao ni wengii mno
 
naona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL . na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. ni mchezo gani unachezwa sana huko?
Kuandamana bila tija
 
Mimi kama mwenyeji sana wa huko naweza sema kama pool table na na basket ball
 
KUNA MASHINDANO YA KUVUTA BHANGI? YALETE ARUSHA NA K'NJARO. YAKIISHA NJOO UULIZE TENA SWALI LAKO.
 
Back
Top Bottom