Hivi Arusha na Moshi ni mchezo gani unachezwa zaidi?

Hivi Arusha na Moshi ni mchezo gani unachezwa zaidi?

Naona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. Kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. Ni mchezo gani unachezwa sana huko?
Mchezo wa kutafuta pesa
 
Wao ndiyo wana host Kilimanjaro Maraton na kwenye Rally pia wapo vizuri
 
Back
Top Bottom