SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,375
Povu la WIVU wa kike hili...Huko mchezo wao mkubwa ni kushindana tu kuvuta Bangi kuanzia Kete 15 hadi 30 na kula Mirungi mifuko 10 hadi 15.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povu la WIVU wa kike hili...Huko mchezo wao mkubwa ni kushindana tu kuvuta Bangi kuanzia Kete 15 hadi 30 na kula Mirungi mifuko 10 hadi 15.
Mchezo wa kutafuta pesaNaona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. Kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. Ni mchezo gani unachezwa sana huko?