Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
![]()
karibu Arusha na Moshi Chalii![]()
nije kufanyeje sasa kama ni wanyama hata kwetu mikumi wapo, hata bunda pia wamejaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
karibu Arusha na Moshi Chalii![]()
Point yako ilikuwa Arusha na moshi tunavuta tu bang!nimekutaarifu vijana wa moshi na arusha tupo kwenye utalii na tanzanite usitudharau chalii.Upo mikum ndio ushawai pata sh ngap tukokana ina iyo mikum?asilimia kubwa vijana wa Arusha na moshi ndio tunalamba dolanije kufanyeje sasa kama ni wanyama hata kwetu mikumi wapo, hata bunda pia wamejaa
naona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL . na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. ni mchezo gani unachezwa sana huko?
Usintishe nyau, unakashifu wenzio tukuangalie kimya kama bashite...be care fully
Kuandamana bila tijanaona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL . na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. ni mchezo gani unachezwa sana huko?
Mimi kama mwenyeji sana wa huko naweza sema kama pool table na na basket ballnaona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL . na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. ni mchezo gani unachezwa sana huko?
Wewe mpumbavu sanaMchezo wa kutumia ngada unachezwa sana huko Unga limited.