SirChief JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 3,304 Reaction score 3,375 Mar 31, 2017 #41 GENTAMYCINE said: Huko mchezo wao mkubwa ni kushindana tu kuvuta Bangi kuanzia Kete 15 hadi 30 na kula Mirungi mifuko 10 hadi 15. Click to expand... Povu la WIVU wa kike hili...
GENTAMYCINE said: Huko mchezo wao mkubwa ni kushindana tu kuvuta Bangi kuanzia Kete 15 hadi 30 na kula Mirungi mifuko 10 hadi 15. Click to expand... Povu la WIVU wa kike hili...
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Mar 31, 2017 #42 Red Giant said: Naona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. Kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. Ni mchezo gani unachezwa sana huko? Click to expand... Mchezo wa kutafuta pesa
Red Giant said: Naona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. Kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa miguu. Ni mchezo gani unachezwa sana huko? Click to expand... Mchezo wa kutafuta pesa
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,648 Reaction score 18,742 Mar 31, 2017 #43 Wao ndiyo wana host Kilimanjaro Maraton na kwenye Rally pia wapo vizuri