Hivi Azam FC, Abubakar Salum 'Sure Boy' huwa anawapa nini zaidi kugharimu timu?

Sure Boy anacheza mpira mpaka leo au huyo mwanawe karithi jina?
Mwanaye karith jina

Salum Abubakar au salum kistuli
Yupo Azam tokea ilipoanzishwa 2011 sijui na ngapi.mzee wake alimshika mkono japo dogo anaujua katumia fursa vizuri
 
Hakuna kitu kama hicho. Abadilike tunataka akina Samatta wengi Tanzania.
Ah kumbe we mwenyewe mpira ulikushinda ukaishia chandimu kumbuka unachomfanyia jamaa siyo fair kumbuka neno huumba jamaa analisha familia kwa miguu yake
 
Azam wajinga...wanamuacha Muathir wakaamua kubakia na mtoto wa mchezaji wa Yanga zamani...
Nadhani maneno yetu yameishi muda mrefu mpaka leo yanafikia ukingoni

Ijapokuwa wale wasio na uoni wa mbali hawakung'amua hili.
 
Mchezaji mwenyewe ni mzee wa back pass 🚮🚮🚮
 
Ile ni ajira yake hata kama ni shabiki Wa Yanga. Inamsaidia nini AZAM ikifungwa na Yanga kwa sababu yake?
Nadhani umepata jibu sasa. Siku nyingine usikae ukawa na ubishi tu bila kuelewa mambo yanavyokwenda.
 
Wewe kolo ni jinga tu
Sasa afanyeje ikiwa alisimamishwa?
Atakula wapi na anataka sehemu ya kucheza?
 
Wewe kolo ni jinga tu
Sasa afanyeje ikiwa alisimamishwa?
Atakula wapi na anataka sehemu ya kucheza?
We punguni wahed sana, kwani alisimamishwa peke yake? Na waliosimamisha wenzake hujui kuwa wapo mazoezini?

Hujui chochote halafu unajitia kiherehere hapa peleka mbele Upunguani wako huko.
 
We punguni wahed sana, kwani alisimamishwa peke yake? Na waliosimamisha wenzake hujui kuwa wapo mazoezini?

Hujui chochote halafu unajitia kiherehere hapa peleka mbele Upunguani wako huko.
Kwamba unadhani sijui wenzie kina Morris wapo timuni tayari?

Sure Boy kaamua asirudi na akatafute team nyingine ni maamuzi yeke akuridhishe aige wenzie wewe ni mkewe?

Tutolee ufala mwana wa nje ya ndoa wewe unanipangia nisiongee hata Kama unamuonea mtu, jf ya baba yako?
 
We ni mgonjwa wa akili hata kukujibu ni kupoteza muda bure, huu Uzi niliandika wakati upo huko vichochoroni 2018, ndo maana huelewi ushike lipi, hivi kuna sehemu nimekuzuia kuongea au kuchangia?

Eti akale wapi..... kwani wakati hujasimamishwa si alikuwa anakula, je ulikuwa unampikia wewe?

We kima tu kama kima wengine.
 
Kiufupi jamaa amekurupuka
 
Wewe kolo uliyetukuka mfariji mwenzio juzi tu hapa ulianza kunitukana mwenyewe je hukukurupuka?
Unalalamika kutukamwa ilhali we ndo unaanza kutukana, Nyani Asiyeona Kundule.

Nyie mijutu tunapowadharau tunakuwa tupo sahihi kabisa yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…