Hivi Azam FC, Abubakar Salum 'Sure Boy' huwa anawapa nini zaidi kugharimu timu?

Hivi Azam FC, Abubakar Salum 'Sure Boy' huwa anawapa nini zaidi kugharimu timu?

Sure Boy anacheza mpira mpaka leo au huyo mwanawe karithi jina?
Mwanaye karith jina

Salum Abubakar au salum kistuli
Yupo Azam tokea ilipoanzishwa 2011 sijui na ngapi.mzee wake alimshika mkono japo dogo anaujua katumia fursa vizuri
 
Hakuna kitu kama hicho. Abadilike tunataka akina Samatta wengi Tanzania.
Ah kumbe we mwenyewe mpira ulikushinda ukaishia chandimu kumbuka unachomfanyia jamaa siyo fair kumbuka neno huumba jamaa analisha familia kwa miguu yake
 
Leo katika mtanange wa ligi kuu Tanzania bara VPL, ulikuwa ni mtifuano katika ya Azam FC na Yanga SC kwenye uwanja wa Chamazi, ambapo kwenye mchezo huu Yanga imeibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja dhidi ya Azam FC.

Huku mchezaji wa Azam FC Abubakar Salum ' Sure Boy' akitolewa nje ya uwanja kwa kadi nyekundu baada ya kumsukuma beki wa Yanga Hassan Ramadhan.

Nakumbusha Azam FC na kuwauliza hivi Abubakar Salum huwa anawapa nini zaidi kugharimu timu?

Yaani viongozi mmeziba pamba kwenye masikio? Na macho mnayo lakini hamuoni? Sasa mnataka awaonyeshe namna gani kuwa huyo mchezaji ni Yanga wakutupwa, kwahivyo kuendelea kumtumia kwenye mechi dhidi ya Yanga ni ujinga.

Kwasababu tayari mnakuwa 10 uwanjani badala ya 11. Mchezaji anahujumu timu wazi wazi kiasi hicho halafu mnajifanya hamuoni?

Na wachezaji kama hawa ndo chanzo cha soka la Tanzania kupiga hatua. Poleni sana Azam FC.
Mchezaji mwenyewe ni mzee wa back pass 🚮🚮🚮
 
Ile ni ajira yake hata kama ni shabiki Wa Yanga. Inamsaidia nini AZAM ikifungwa na Yanga kwa sababu yake?
Nadhani umepata jibu sasa. Siku nyingine usikae ukawa na ubishi tu bila kuelewa mambo yanavyokwenda.
 
Wewe kolo ni jinga tu
Sasa afanyeje ikiwa alisimamishwa?
Atakula wapi na anataka sehemu ya kucheza?
 
Wewe kolo ni jinga tu
Sasa afanyeje ikiwa alisimamishwa?
Atakula wapi na anataka sehemu ya kucheza?
We punguni wahed sana, kwani alisimamishwa peke yake? Na waliosimamisha wenzake hujui kuwa wapo mazoezini?

Hujui chochote halafu unajitia kiherehere hapa peleka mbele Upunguani wako huko.
 
We punguni wahed sana, kwani alisimamishwa peke yake? Na waliosimamisha wenzake hujui kuwa wapo mazoezini?

Hujui chochote halafu unajitia kiherehere hapa peleka mbele Upunguani wako huko.
Kwamba unadhani sijui wenzie kina Morris wapo timuni tayari?

Sure Boy kaamua asirudi na akatafute team nyingine ni maamuzi yeke akuridhishe aige wenzie wewe ni mkewe?

Tutolee ufala mwana wa nje ya ndoa wewe unanipangia nisiongee hata Kama unamuonea mtu, jf ya baba yako?
 
We ni mgonjwa wa akili hata kukujibu ni kupoteza muda bure, huu Uzi niliandika wakati upo huko vichochoroni 2018, ndo maana huelewi ushike lipi, hivi kuna sehemu nimekuzuia kuongea au kuchangia?

Eti akale wapi..... kwani wakati hujasimamishwa si alikuwa anakula, je ulikuwa unampikia wewe?

We kima tu kama kima wengine.
 
We ni mgonjwa wa akili hata kukujibu ni kupoteza muda bure, huu Uzi niliandika wakati upo huko vichochoroni 2018, ndo maana huelewi ushike lipi, hivi kuna sehemu nimekuzuia kuchangia?

Eti alale wapi, kwani wakati hujasimamishwa alikuwa anakula ulikuwa unampikia wewe?

We kima tu kama kima wengine.
Kiufupi jamaa amekurupuka
 
Wewe kolo uliyetukuka mfariji mwenzio juzi tu hapa ulianza kunitukana mwenyewe je hukukurupuka?
Unalalamika kutukamwa ilhali we ndo unaanza kutukana, Nyani Asiyeona Kundule.

Nyie mijutu tunapowadharau tunakuwa tupo sahihi kabisa yaani.
 
Back
Top Bottom