Hivi baada ya balozi wetu kuwakuna Watanzania, sharti la kupima lililegezwa?

Ukabila wao wanataka kuleta Kwenye huu ugonjwa,inamana ugonjwa unachagua utaifa ?
Huwa nasema humu Wakenya ndio watu wenye IQ ndogo dunia nzima.

Madereva wakenya wanazurura Tanzania zaidi ya wiki wakipimwa wanakutwa negative, lakini watanzania wanakutwa positive.

Endeleeni kudundana virungu mkilazimishana lock down wasee wa failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuache ushabiki wa kizandiki...watanzania kwa hili tunabugi sana...kama sie tumekubali Corona imeisha kwetu kwa nini tunaogopa kupimwa wakati tunaingia kwa wengine? Kila nchi inanjia yake ya kupambna na hili janga na jiwe alisema tusipangiwe basi na sie tusiwapangie wenzetu jinsi ya kufanya kwenye hili...tunajanzwa ujinga na viongozi wetu then tunareact tu bila kujiongeza? Kenya wana haki ya kulinda watu wao kama tunaona wanatuonea kwa nini tunang'aninia kwenda? Tubaki kwetu wao waje kwetu kufata wanachotaka.
Kwani ulisikia tz ikilalamika kuhusu madreva wa malori kupimwa wakiemda kenya?hata uganda wanafanya ivo ivo.kenya na zambia walienda mbali zaidi wakafunga mipaka ya tz to kenya bado tulinyamaza kimya.walivomwaga mboga wakajua tutakula ugali mkavu na sisi tukamwaga ugali.tukafunga na sisi mipaka yetu hakuna lori la kenya kuingia tanzania cha kushangaza wao ndo wanalia lia tena.mara ohoo sisi sio majirani tu ni ndugu wee ungugu gani wa kifungiana njia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima mpimwe, hamna kuingia tu hivi hivi, ukinuka corona unatolewa nduki mkaambukizane huko kwenu....mengine yote hayatuhusu, kwa sasa tunawaza kuhusu afya na usalama wa watu wetu, kila anayekuja haswa wanaotokea kwenye mataifa ambayo yamejichokea lazima wapimwe mara mbili mbili.
Wewe jamaa unaipenda sana Tanzania na mada zako nyingi huwa nina kuiombea mazuri Tanzania sema unaziweka kwenye mfumo wa matano na dharau,najua utakuwa unaishi Tanzania na unafaidi utamu wa nchi yetu
 
Kwani ulisikia tz ikilalamika kuhusu madreva wa malori kupimwa wakiemda kenya?hata uganda wanafanya ivo ivo.kenya na zambia walienda mbali zaidi wakafunga mipaka ya tz to kenya bado tulinyamaza kimya.walivomwaga mboga wakajua tutakula ugali mkavu na sisi tukamwaga ugali.tukafunga na sisi mipaka yetu hakuna lori la kenya kuingia tanzania cha kushangaza wao ndo wanalia lia tena.mara ohoo sisi sio majirani tu ni ndugu wee ungugu gani wa kifungiana njia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hoja kubwa ya madereva wabongo ni kupimwa....mpaka haujafungwa magar yanaingia kama kawa japo mpaka wapimwe ukiwa negative unaiingia ukiwa positive unarudishwa...mbaya zaidi madereva wetu wamejazwa ujinga kwamba vipimo ni fake kwamba mtu kama hana dalili basi hana covid kitu ambacho sio sahii..sisi tulio border tunajua zaidi kuhusu ili.Tumejazwa ujinga na tumejaaa pwaaa ..majirani zetu wapo sahii katika ili..
 
Vichaa Kama hawa ckunyengine unamdharau tu hakuna kumjibu ,ushaona mtu hajitambui bc mtu ana akil kiduchu ya nini kumuelimisha
wewe ni kajinga,unatakiwa ujipe wakati kushughulisha akili yako ikae na kitu.

unaelezaje swala la wakenya kuja huju wakawa wazima ila wabongo wakienda kenya wana corona!!!wewe una corona??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni kajinga,unatakiwa ujipe wakati kushughulisha akili yako ikae na kitu.

unaelezaje swala la wakenya kuja huju wakawa wazima ila wabongo wakienda kenya wana corona!!!wewe una corona??
I cant say much kuhusu hilo mkuu...swali ni kwamba mmewapima kwa kutumia kipimo gani? Kile cha kupima halijoto la mwili? Mara ya mwisho mlisema vipimo kwa sasa mmsitisha kwa maboresho sio? Kwa nini mseme juzi baada ya wa kwetu wengi kupimwa positive na wakenya? Kwanini msifanye ka wakenya tu mpime watu wao wakiwa positive muwarudishe kwao badala ya kupiga mayowe!? Tuache propaganda wazee tufanyie kazi hizi changamoto..hii kitu ipo na inaua kujifanya haipo haitatusaidia.
 
Mkuu hoja kubwa ya madereva wabongo ni kupimwa....mpaka haujafungwa magar yanaingia kama kawa japo mpaka wapimwe ukiwa negative unaiingia ukiwa positive unarudishwa...mbaya zaidi madereva wetu wamejazwa ujinga kwamba vipimo ni fake kwamba mtu kama hana dalili basi hana covid kitu ambacho sio sahii..sisi tulio border tunajua zaidi kuhusu ili.Tumejazwa ujinga na tumejaaa pwaaa ..majirani zetu wapo sahii katika ili..
Hoja sio kupimwa hoja ni kuzuiwa kuingia mbona uganda wanapima na hakuna hii mameno?nyie na zambie mmlifunga mpaka wa tz wee inaonekana umekurupuka kuandika na hujui unachokiandika.mpaka kumtuma balozi wenu kuja kulia lia si ni baada ya na sisi kuamua kufanya mlichotufanyia?kufunga mpaka

Nakuhakikishia border ya namanga magar ya walio negative yanavuka kila siku..postlitive ambao ndo wengi ndo wanaopiga kelele hapa...muhimu hapa usiamini kila unachotangaziwa na viongozi wa nchi hii mkuu...unahabar baadhi ya madereva wa bongo wanalalamikia hata kipimo tu? Et cha mabeberu? Eti wanataka wapimwe na pimajoto kama joto lipo sawa et hawana covid 19? Nikipata nafasi leo nitaweka picha hapa ya magar yanayovuka border ya bongo kuingia Kenya baada ya madereva wao kupewa majibu negative leo mkuu...Border ipo wazi kwa walio Negative tu
 
tatizo mnaichukulia serious sana corona.
Kupima pima watu ni kujipa presha zisizo na msingi..
nyie inabidi mpambane kwanza na mafuriko yaliyowaua wakenya 234.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili deni la pesa kwa ajili ya kupambana na corona ukijumlisha na deni linalosababisha China itake kuwaoa mnakua mna deni la taifa kiasi gani?

Pia naona umepata sehemu ya kuchaji simu. Karibu tena.
 
I cant say much kuhusu hilo mkuu...swali ni kwamba mmewapima kwa kutumia kipimo gani? Kile cha kupima halijoto la mwili? Mara ya mwisho mlisema vipimo kwa sasa mmsitisha kwa maboresho sio? Kwa nini mseme juzi baada ya wa kwetu wengi kupimwa positive na wakenya? Kwanini msifanye ka wakenya tu mpime watu wao wakiwa positive muwarudishe kwao badala ya kupiga mayowe!? Tuache propaganda wazee tufanyie kazi hizi changamoto..hii kitu ipo na inaua kujifanya haipo haitatusaidia.
huo muda wa kushindana ba wagonjwa wa akili tunautoa wapi???

tunatumia vipimo vyao hivyo hivyo kujenga hoja fikirishi.kama vipimo vyao viko sawa vinaona maambukizi mpakani kwa madereva wa tz tu,ila wakenya vinasoma -ve.
 
Wakenya kwa unafiki.

Nyinyi mlimuita Rais Magufuli mkaidi na mkatumia siku kibao kumuomba msamaha na kumpeti peti kupitia media zenu huko.

Na mko nje ya nchi ambapo hana jurisdiction.
 
Ila hapa kuna hujuma,katika hali ya kawaida kama ni kweli hao madereva wamekutwa na huo ugonjwa basi hali ingekuwa mbaya sana Tanzania la sivyo korona uliyopo nchini mwetu ni tofauti na ya nchi jirani.
 
Usitumie kichwa Kama kabati ya meno. Ni wazi kuwa hamfanyi vipimo nyie mpo tu mshakuwa Wuhan kaxi ni kusambazia majirani covid-19. Sweden ilifanya mnavyofanya na hivi sasa mipaka yake yote na Nordic Countries imefungwa na wanainchi wa hizo Nchi kukatazwa kusafiri Sweden.
Anyway ni Jambo jema juu ni funzo kwa Nchi nyingi hapa Afrika not to go the Tanzanian way.
 
Labda ni kwli mkuu...sasa ebu tuwaze nje ya box kenya wanaotutegemea kwa kila kitu kama tunavyodai wanagain nini kutuhujumu mkuu?
 
Wakenya kwa unafiki.

Nyinyi mlimuita Rais Magufuli mkaidi na mkatumia siku kibao kumuomba msamaha na kumpeti peti kupitia media zenu huko.

Na mko nje ya nchi ambapo hana jurisdiction.
Ila mtanzania anakamatwa na kuwekwa ndani ati amecheka suti ya St. Jiwe 😂😂😂
Kenyatta anatukanwa Kila siku Mara Mlevi 1, Mara bange 1, Konyagi 1 na memes zinatengenezwa nyiiiiiingi na hamna aliyekamatwa. Huko kwenu kama si nyimbo za misifa kwa Jiwe ni kuwatukana Wakenya Ila najua mnatamani Sana maisha ya Wakenya.
 
Usitumie kichwa Kama kabati ya meno. Ni wazi kuwa hamfanyi vipimo nyie mpo tu mshakuwa Wuhan kaxi ni kusambazia majirani covid-19. Sweden ilifanya mnavyofanya na hivi sasa mipaka yake yote na Nordic Countries imefungwa na wanainchi wa hizo Nchi kukatazwa kusafiri Sweden.
Anyway ni Jambo jema juu ni funzo kwa Nchi nyingi hapa Afrika not to go the Tanzanian way.
basi corona ya kwetu ni kiboko,inabaka wakenya ila wa tz haionekani kufua dafu.

sad news mnafirigiswa hata baada ya kufunga mpaka.sijui lengo lilikuwa kufunga mpaka ili iweje??
 
Usitumie kichwa Kama kabati ya meno. Ni wazi kuwa hamfanyi vipimo nyie mpo tu mshakuwa Wuhan kaxi ni kusambazia majirani covid-19. Sweden ilifanya mnavyofanya na hivi sasa mipaka yake yote na Nordic Countries imefungwa na wanainchi wa hizo Nchi kukatazwa kusafiri Sweden.
Anyway ni Jambo jema juu ni funzo kwa Nchi nyingi hapa Afrika not to go the Tanzanian way.
We mbulula skizia tu maumivu sirari ishafungwa ujue
tunajua tatizo ni uchumi wenu sasa sie tnausindikizia ukuuko chini

Nakukumbusha tu chakula ndo usalama wa taifa
 
Back
Top Bottom