Hivi baada ya balozi wetu kuwakuna Watanzania, sharti la kupima lililegezwa?

Hivi baada ya balozi wetu kuwakuna Watanzania, sharti la kupima lililegezwa?

Mpaka sasa nimetumia masaa matano na nusu na productivity pulse yangu ni 63%
Inawezekana schedule hizo ukazi-name vyovyote. Mfano hiyo ya software development inawezekana umeeiita hivyo tu, lakini kumbe ndio percentage iliyotumika kuwepa threads na posts humu JF 😁
 
Basi kwa huo mgomo wabaki huko huko....hii ni nchi ya uchumi wa kati hatutaki kuletewa balaa za umaskini na watu waliojichokea wanashindwa kupambana na corona kisa umaskini.
Hiyo mido inkamu yenu huwa inanichekesha sana!!!
 
Ndio umesema nini hapa, kwani mkopo tunapewa bure??? Lazima mpimwe...nasisitiza tena, lazima mpimwe...
Tatizo kidogo mnakimbilia kukopa duh eti mido inkamu?Kupima Ni jambo jema najua maana hata Mimi ni Mganga, Nasemaje kupima ni jambo jema tena sana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kumhoji Dr. moja kuhusu namna ya kupima ugonjwa wa Corona, alinijulisha kuwa hapa Africa Mashariki hakuna Darubini ambayo inaweza kumwona mdudu wa Corona ila zipo mashine za kupima sample na hizi mashine hutoa reaction Fulani ambayo huonyesha uwepo wa vijidudu vya Corona.
Hii inaweza kuwa sahihi kwa Mh. Rais wa Inchi yetu kusema kuwa matokeo ya vipimo vya corona yaliyokuwa yanafanywa kwenye maabara yetu si sahihi.
Matokeo ya kipimo kinachotokana na reaction huwezi kuyategemea sana na huwezi kumlaumu mpimaji kwa sababu unaweza ukupima sample na ikatoa reaction inayoonyesha kuwa kuna vijidudu vya corona wakati hakuna.
Inashangaza kuambiwa kuwa dereva amepimwa ugonjwa wa corona na kuonekana ameambukizwa wakati yeye yu buheri wa afya na anafanya kazi ngumu ya kuendesha lori masaa mengi.
Kama hali ni hii ya watu kuwa na vijidudu vya corona lakini hawana dalili zozote za ugonjwa, watu waruhusiwe kuendelea na maisha kama kawaida kuliko kufunga shughuli mbali mbali za kibiashara na kuwatesa watu kwa kuogopa ugonjwa ambao tunaishi nao bila kujua na bila kuumwa.
Hakika vijidudu vya corona havitakaa viishe kamwe. Miili yetu itavizoea na kujenga kinga.
Kulikuwa na kaugonjwa Fulani Inchini kanaitwa Dengue, sasa kako wapi?
 
Inawezekana schedule hizo ukazi-name vyovyote. Mfano hiyo ya software development inawezekana umeeiita hivyo tu, lakini kumbe ndio percentage iliyotumika kuwepa threads na posts humu JF 😁

Nifanye hiyo yote kwa faida ya nani wakati sina bosi wa kunifuatilia wala nani, ndio faida za kujiajiri unawajibika mwenyewe na kuhakikisha matumizi bora ya muda.
Mpaka sasa nimefanya kazi masaa sita na JF imechukua 25% ya muda wangu maana mida ya asubuhi ndio huwa napitia mitandao ya kijamii na habari...
So kuanzia 9.30am hadi 13:00 nakua na focus ya hali ya juu maana ndio nitaingia kwenye vikao vya Zoom na Skype, lakini hadi hapo tayari kazi zangu nimekamilisha asilimia kubwa. Aina yangu ya kazi nikiwa na undivided focus ya masaa matatu tu yaani siku imeisha.

productivity.jpg
 
Basi kwa huo mgomo wabaki huko huko....hii ni nchi ya uchumi wa kati hatutaki kuletewa balaa za umaskini na watu waliojichokea wanashindwa kupambana na corona kisa umaskini.
shangaeni hii nyan'gau ya slam haijachamba wiki nzima maji hakuna umeme hakuna njaa inakuuma apo uhuru park umenin'giza pumbu na wifi ya bure eti unasema tz maskini
 

Sikubaliani na siasa za Magufuli lakini alichokifanya Idris ni utovu wa nidhamu. Kila jamii ina miiko ya tamaduni zake! Licha ya Magufuli ni rais hata kama akiwa na matatizo yake ila ni mtu mzima kwake, tena anaweza akawa ni baba yake. Jamii yetu mtu mzima wa umri wa Magufuli ni rika la mzazi, haijalishi sintofahamu zake lakini tulivyokuzwa kijamii inapaswa tumheshimu.

Tanzania tuna Alama za Taifa. Moja wapo ya ni Nembo ya Taifa. Nembo ya Taifa huwepo katika bendera ya Rais, kwa maana inamuwakilisha yeye. Ipo kwenye gari analopnda Rais, Makamu wa Rais na Ikulu n.k. Hapa Idris amekosea! Tafsiri nyengine ni kwamba amedhihaki moja ya Alama za Taifa.

Kingine ni kuwa mtu mwenye akili hawezi kugongwa na Nyoka mara 2 sehemu moja. Alikamatwa mara ya kwanza kwa kufanya kama alichokifanya. Wakubwa wengine wakaingilia wakamstahi ili kama hajui basi ajue alichokifanya ni utovu wa nidhamu! Akawa huru. Halafu anarudia tena alichokifanya kilekile kama mara ya kwanza. Watakachomfanyia watamkomoa kwa sababu analifanya jambo nje ya wakati wake! Utawala wa Bw. Huyu hauna dogo, watampoteza.

Idris alichokifanya ni makosa na ni ujinga.
 
MK254 with "uchumi wa kati" while most of Kenyans cannot even afford a face mask!
 
Tuache ushabiki wa kizandiki...watanzania kwa hili tunabugi sana...kama sie tumekubali Corona imeisha kwetu kwa nini tunaogopa kupimwa wakati tunaingia kwa wengine? Kila nchi inanjia yake ya kupambna na hili janga na jiwe alisema tusipangiwe basi na sie tusiwapangie wenzetu jinsi ya kufanya kwenye hili...tunajanzwa ujinga na viongozi wetu then tunareact tu bila kujiongeza? Kenya wana haki ya kulinda watu wao kama tunaona wanatuonea kwa nini tunang'aninia kwenda? Tubaki kwetu wao waje kwetu kufata wanachotaka.
[/QUO
Madreva wa Tanzania hawaogopi kupima ila wapimaji wa kenya hawazingatii kanuni za afya! Hawanawi baada ya kumpima mtu mmoja hivyo kutishia kuambukiza wengine during the process!
 
Madereva Watanzania wamekua wakipimwa na majirani zao wote SADC na EAC na kukutwa na corona, kama jinsi hata madereva wetu wanapimwa Uganda na kugunduliwa na corona, ila Watanzania kama ilivyo kawada yao wanalia lia na kufukia vichwa ardhini maana kwao huko wamejiaminisha hawana corona.

Tofauti na kwingine huko ni kwamba sisi tuna uwezo wa kupima wengi kwa mkupuo, na kwamba madereva wengi wa Tanzania huja Kenya, tofauti na majirani zao wengine, hivyo tunapima wengi na kuwagundua na corona, hii inasababisha aibu kwa wakuu wao ambao wamewaaminsha raia wao kwamba corona imeisha na sasa wajiandae Jumapili kupiga makelele ya ushindi dhidi ya corona, ila kila wakithubutu kuingia kwa nchi yoyote jirani namba za waathirika wao zinapandsha.

Jamaa wamelia lia mpaka imembidi balozi wetu kuwahutubia na kuwakuna akiwaita ndugu na mazagazaga mengine ambayo hutumika huko kwa watu wa mfumo wa ujamaa, ila swali bado linabaki pale pale; je, dereva Mtanzania akiingia Kenya au kwenye taifa lolote jirani, atapimwa au aachwe aingie na corona yake kisa walikunwa kunwa na balozi wetu.

Sisi hatuna wasiwasi kuhusu wao kuzuia madereva wetu, muhimu sana madereva wetu wazuiwe kuingia kwenye nchi ambayo imejichokea kwenye vita dhidi ya corona kisa umaskini, maana kila wakigeuza wanakuja na corona.

Napenda sana wanachokifanya Uganda, wanapima madereva wetu kiasi kwamba hatuwaogopi wakirudi, lakini wakienda Tanzania au Mkenya yeyote akienda Tanzania akirudi lazima tumpigie ukunga akithubutu kuingia kinyemela. Kila mtu lazima apimwe. Pima, pima, pima, hata iwe nani au hata akilia vipi.

Hilo neno Watanzania wanalia linanisumbua sana unapolitamka pindi unapotuongelea [emoji34]. Hivi balozi wenu alikuwa anaimba au analia maana hatumtukuma sisi aje atoe maelezo maarefu ambayo yaliishia kwa waandishi wa habari.
Hivi vilio vibaya sana, ni aibu iliyoje kutaka kuongea na waziri anakuambia hana mda wakati balozi mtu muhimu na bado ukajisifu hulii? Mnahangaika wenyewe, mlianza ngoma na mtaonja mdundo[emoji16][emoji16].
 
Kq mkija qarantine 2wk
Budaa all option are on table

Magari mengi ya tz kenya we ujui maana yake? Logistic wise mko nyuma sana
Logistics tuko nyama kivipi na mizigo mingi EAC inapitia Kenya? Unajielewa ama unafungua mdomo usinuke?
 
Uhuni na ubabe mnaofanyia wapinzani ,kwa Kenya mmegonga mwamba big time. Watanzania pimeni bila shuruti ndio muingie nchi za watu.Tuache ujinga.
 
Hilo neno Watanzania wanalia linanisumbua sana unapolitamka pindi unapotuongelea [emoji34]. Hivi balozi wenu alikuwa anaimba au analia maana hatumtukuma sisi aje atoe maelezo maarefu ambayo yaliishia kwa waandishi wa habari.
Hivi vilio vibaya sana, ni aibu iliyoje kutaka kuongea na waziri anakuambia hana mda wakati balozi mtu muhimu na bado ukajisifu hulii? Mnahangaika wenyewe, mlianza ngoma na mtaonja mdundo[emoji16][emoji16].
Mngepiga kimya muendelee kupimwa, wala usingemuona anahangaika kuja kuwatuliza, sisi tunapimwa Uganda na kote wala hutaskia tukilialia, tunaheshimu maamuzi ya kila.
Ingekua Wakenya ndio wanalialia wakitaka waingie Tanzania bila kupimwa, hakungekalika huku, mngetusema sana.
 
Hivi ule ushabiki wa kupima umeishia wapi vile maana ckuhiz ckuoni ukiandika pima pima pima hahahaha
Mngepiga kimya muendelee kupimwa, wala usingemuona anahangaika kuja kuwatuliza, sisi tunapimwa Uganda na kote wala hutaskia tukilialia, tunaheshimu maamuzi ya kila.
Ingekua Wakenya ndio wanalialia wakitaka waingie Tanzania bila kupimwa, hakungekalika huku, mngetusema sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom