Hivi baada ya balozi wetu kuwakuna Watanzania, sharti la kupima lililegezwa?

Kila nchi iwe na namna na utaratibu wake wa kupambana na hili janga la Covid19...

Siyo lazima tufanane...

Cc: mahondaw
 
Hahaa povu heri wakenya wanaokuja huko ni professionals kuliko watanzania wanaokuja huku ni omba omba na hawkers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani vipi maisha ambayo Al Shabab wanaweza kuja kuyachukua muda wowote? Na hata jeshi lisijali likawa bize kuiba mikate.
 
Labda ni kwli mkuu...sasa ebu tuwaze nje ya box kenya wanaotutegemea kwa kila kitu kama tunavyodai wanagain nini kutuhujumu mkuu?
We mbulula skizia tu maumivu sirari ishafungwa ujue
tunajua tatizo ni uchumi wenu sasa sie tnausindikizia ukuuko chini

Nakukumbusha tu chakula ndo usalama wa taifa
Hela Kila kitu bro afu tuna Uhuru wa kunua hata Mexico ama pia huko mtaweka vizuizi?
 
We ndo unaonesha ulivo zero brain... Utajuaje kama wanachukua tahadhari wasiambukizwe?? Alafu tena nani kakwambia madereva wote wanaotokea Tanzania wanapatikana negative??

Imbecile ukiwaita wengine wajinga hakikikisha wewe mwenyewe si zaidi ya mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani vipi maisha ambayo Al Shabab wanaweza kuja kuyachukua muda wowote? Na hata jeshi lisijali likawa bize kuiba mikate.
Usingekuwa unatamani hungekuwa na hasira hivyo 😂
Tanzania na Somalia tumeziweka kundi moja...hatari kwa maisha ya Wakenya
 
Hii issue ni raisi sana kusolve kama serikali yenu ingekua willing kucooperate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela Kila kitu bro afu tuna Uhuru wa kunua hata Mexico ama pia huko mtaweka vizuizi?
Sijakuelewa mkuu..kenya wanaimport zaidi mazao ambapo sie ndo tunapata hela kutoka kwao mkuu...au unamaana gani?
 
Sio kwamba mnauwezo sana sema mkopo mkubwa mliochukua hiyo ndio kazi yake...mngekua na uwezo msingekimbilia mkopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usingekuwa unatamani hungekuwa na hasira hivyo 😂
Tanzania na Somalia tumeziweka kundi moja...hatari kwa maisha ya Wakenya
Hahaha dah Mi niwe na hasira na watu wapo gizani kisa umeme? Kasirika wewe balozi wako kupiga magoti Tz
 
Sijakuelewa mkuu..kenya wanaimport zaidi mazao ambapo sie ndo tunapata hela kutoka kwao mkuu...au unamaana gani?
Sisi ndio tunapata hela nyingi kwa kuwauzia bidhaa za Bei ya juu Kama sabuni, chuma, madawa, siagi, pipi, cosmetics etc ilhali tutanunua vitunguu na matunda kutoka Tz au kupitia Tz from Zambia & Malawi.
 
afya na usalama!! leo namba inagonga 1k[emoji16][emoji16]

kama mnaruhusu wazima pekee,sisi hatuwataki hata hao wazima huku.ndio uone hatuna faida yoyote tunaipata kutokea kwenu.

Hata igonge milioni moja, cha msingi tunapima na kuhakikisha kila kajamba wa kutokea nchi jirani lazima apimwe.
Hilo ya nyie kukataa wasije hata wazima ni sheria zenu na tunaziheshimu, kila ukitaka kuingia kwenye nchi ya watu unapitia uhamiaji, wao wanatathmini kama kuna umuhimu wa wewe kuingia, wakikukatalia haupaswi kung'ang'ania, unaheshimu maamuzi yao na kujigeuzia kurudi kwenu.
Kwa hivyo iwe mnawakataa Wakenya kuja huko au la halituhusu, kwa sasa kila mtu kutoka kwenu lazima apimwe tena mara mbili mbili, akigunduliwa kuwa na corona anageuzwa fasta mkaambukizane huko.
 
Madereva Watanzania wamekua wakipimwa na majirani zao wote SADC na EAC na kukutwa na corona,...

Nilikuwa naangalia tu nijue umeamka saa ngapi kuanzisha uzi. It seems like unatamani siku ianze mapema kila siku uanzishe uzi
 
Sio kwamba mnauwezo sana sema mkopo mkubwa mliochukua hiyo ndio kazi yake...mngekua na uwezo msingekimbilia mkopo

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio umesema nini hapa, kwani mkopo tunapewa bure??? Lazima mpimwe...nasisitiza tena, lazima mpimwe...
 
endeleeni kupimana.

sisi tumewarahisishia kazi ya kuja huku mbaki mnapimana kwenu.mkija kushtuka mna wagonjwa kibao na hamjui mlikuwa mnapima ili iweje.
 
Ndio umesema nini hapa, kwani mkopo tunapewa bure??? Lazima mpimwe...nasisitiza tena, lazima mpimwe...
sasa mtu anakukopesha halafu anakupa masharti,kwani sharti la mkopo si ni uwezo na uhakika wa kulipa!!!!!

kweli umasikini mbaya sana.
 
View attachment 1454657

Nilikuwa naangalia tu nijue umeamka saa ngapi kuanzisha uzi. It seems like unatamani siku ianze mapema kila siku uanzishe uzi

Nani alikuambia ndio muda nilikua nimeamka, hauwezi kukimbizana na Mkenya likija suala la uzalishaji na matumizi bora ya masaa.
Angalia hii hapa dashboard ya system ambayo huwa natumia kufuatilia uzalishaji wangu, masaa mangapi nimetumia kwenye nini na nini.
Mpaka sasa nimetumia masaa matano na nusu na productivity pulse yangu ni 63%

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…