Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Wewe umekosea jukwaa.We ndo unaonesha ulivo zero brain... Utajuaje kama wanachukua tahadhari wasiambukizwe?? Alafu tena nani kakwambia madereva wote wanaotokea Tanzania wanapatikana negative??
Imbecile ukiwaita wengine wajinga hakikikisha wewe mwenyewe si zaidi ya mjinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana schedule hizo ukazi-name vyovyote. Mfano hiyo ya software development inawezekana umeeiita hivyo tu, lakini kumbe ndio percentage iliyotumika kuwepa threads na posts humu JF 😁Mpaka sasa nimetumia masaa matano na nusu na productivity pulse yangu ni 63%
Hiyo mido inkamu yenu huwa inanichekesha sana!!!Basi kwa huo mgomo wabaki huko huko....hii ni nchi ya uchumi wa kati hatutaki kuletewa balaa za umaskini na watu waliojichokea wanashindwa kupambana na corona kisa umaskini.
Tatizo kidogo mnakimbilia kukopa duh eti mido inkamu?Kupima Ni jambo jema najua maana hata Mimi ni Mganga, Nasemaje kupima ni jambo jema tena sanaNdio umesema nini hapa, kwani mkopo tunapewa bure??? Lazima mpimwe...nasisitiza tena, lazima mpimwe...
Inawezekana schedule hizo ukazi-name vyovyote. Mfano hiyo ya software development inawezekana umeeiita hivyo tu, lakini kumbe ndio percentage iliyotumika kuwepa threads na posts humu JF 😁
michezo ya kitoto ndo ipi?Watz wengi wamevuka waiopatikana negative hatuna unafiki ni michezo ya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namna na sie tmewablock sadcLazima mpimwe...hamna namna, ni mwendo wa kupanua mdomo na kutumbukizwa kifaa kipime.
shangaeni hii nyan'gau ya slam haijachamba wiki nzima maji hakuna umeme hakuna njaa inakuuma apo uhuru park umenin'giza pumbu na wifi ya bure eti unasema tz maskiniBasi kwa huo mgomo wabaki huko huko....hii ni nchi ya uchumi wa kati hatutaki kuletewa balaa za umaskini na watu waliojichokea wanashindwa kupambana na corona kisa umaskini.
Sikubaliani na siasa za Magufuli lakini alichokifanya Idris ni utovu wa nidhamu. Kila jamii ina miiko ya tamaduni zake! Licha ya Magufuli ni rais hata kama akiwa na matatizo yake ila ni mtu mzima kwake, tena anaweza akawa ni baba yake. Jamii yetu mtu mzima wa umri wa Magufuli ni rika la mzazi, haijalishi sintofahamu zake lakini tulivyokuzwa kijamii inapaswa tumheshimu.
Tuache ushabiki wa kizandiki...watanzania kwa hili tunabugi sana...kama sie tumekubali Corona imeisha kwetu kwa nini tunaogopa kupimwa wakati tunaingia kwa wengine? Kila nchi inanjia yake ya kupambna na hili janga na jiwe alisema tusipangiwe basi na sie tusiwapangie wenzetu jinsi ya kufanya kwenye hili...tunajanzwa ujinga na viongozi wetu then tunareact tu bila kujiongeza? Kenya wana haki ya kulinda watu wao kama tunaona wanatuonea kwa nini tunang'aninia kwenda? Tubaki kwetu wao waje kwetu kufata wanachotaka.
[/QUO
Madreva wa Tanzania hawaogopi kupima ila wapimaji wa kenya hawazingatii kanuni za afya! Hawanawi baada ya kumpima mtu mmoja hivyo kutishia kuambukiza wengine during the process!
Madereva Watanzania wamekua wakipimwa na majirani zao wote SADC na EAC na kukutwa na corona, kama jinsi hata madereva wetu wanapimwa Uganda na kugunduliwa na corona, ila Watanzania kama ilivyo kawada yao wanalia lia na kufukia vichwa ardhini maana kwao huko wamejiaminisha hawana corona.
Tofauti na kwingine huko ni kwamba sisi tuna uwezo wa kupima wengi kwa mkupuo, na kwamba madereva wengi wa Tanzania huja Kenya, tofauti na majirani zao wengine, hivyo tunapima wengi na kuwagundua na corona, hii inasababisha aibu kwa wakuu wao ambao wamewaaminsha raia wao kwamba corona imeisha na sasa wajiandae Jumapili kupiga makelele ya ushindi dhidi ya corona, ila kila wakithubutu kuingia kwa nchi yoyote jirani namba za waathirika wao zinapandsha.
Jamaa wamelia lia mpaka imembidi balozi wetu kuwahutubia na kuwakuna akiwaita ndugu na mazagazaga mengine ambayo hutumika huko kwa watu wa mfumo wa ujamaa, ila swali bado linabaki pale pale; je, dereva Mtanzania akiingia Kenya au kwenye taifa lolote jirani, atapimwa au aachwe aingie na corona yake kisa walikunwa kunwa na balozi wetu.
Sisi hatuna wasiwasi kuhusu wao kuzuia madereva wetu, muhimu sana madereva wetu wazuiwe kuingia kwenye nchi ambayo imejichokea kwenye vita dhidi ya corona kisa umaskini, maana kila wakigeuza wanakuja na corona.
Napenda sana wanachokifanya Uganda, wanapima madereva wetu kiasi kwamba hatuwaogopi wakirudi, lakini wakienda Tanzania au Mkenya yeyote akienda Tanzania akirudi lazima tumpigie ukunga akithubutu kuingia kinyemela. Kila mtu lazima apimwe. Pima, pima, pima, hata iwe nani au hata akilia vipi.
Logistics tuko nyama kivipi na mizigo mingi EAC inapitia Kenya? Unajielewa ama unafungua mdomo usinuke?Kq mkija qarantine 2wk
Budaa all option are on table
Magari mengi ya tz kenya we ujui maana yake? Logistic wise mko nyuma sana
kwani kun siku kakohoa,labda kujamba tu.Magufuli ndio dawa yenu. Mpaka 2025 kenya hakohoi kwa TZ
Mngepiga kimya muendelee kupimwa, wala usingemuona anahangaika kuja kuwatuliza, sisi tunapimwa Uganda na kote wala hutaskia tukilialia, tunaheshimu maamuzi ya kila.Hilo neno Watanzania wanalia linanisumbua sana unapolitamka pindi unapotuongelea [emoji34]. Hivi balozi wenu alikuwa anaimba au analia maana hatumtukuma sisi aje atoe maelezo maarefu ambayo yaliishia kwa waandishi wa habari.
Hivi vilio vibaya sana, ni aibu iliyoje kutaka kuongea na waziri anakuambia hana mda wakati balozi mtu muhimu na bado ukajisifu hulii? Mnahangaika wenyewe, mlianza ngoma na mtaonja mdundo[emoji16][emoji16].
Mngepiga kimya muendelee kupimwa, wala usingemuona anahangaika kuja kuwatuliza, sisi tunapimwa Uganda na kote wala hutaskia tukilialia, tunaheshimu maamuzi ya kila.
Ingekua Wakenya ndio wanalialia wakitaka waingie Tanzania bila kupimwa, hakungekalika huku, mngetusema sana.