Single mother anapenda mtoto wake kuliko chochote kama baba mtoto anapendwa sio kwasababu ya mtoto kwanini jamaa alikuja kwa gia ya kuhudumia mtoto? Kulipa ada ya shulemkuu, naona ishu ni mwanamke kumkubali X wake kukuzidi. Hata asingekuwa na mtoto ila bikra alitolewa na huyo X wake bado angekukimbia. Ishu si huyo mtoto pekee, imetokea tu kuwa yupo kuongeza nakshi ya historia yao, Wapo wanaume walionyang'anywa wake zao tena waliowazalia na mwanamke hataki kurudi kwa mumewe, kama watoto wangekuwa ndo ishue kubwa hilo lisingewezekana.
Hata asingekuwa na mtoto angekuja na gia nyingine na mwanamke angekubali tu.Single mother anapenda mtoto wake kuliko chochote kama baba mtoto anapendwa sio kwasababu ya mtoto kwanini jamaa alikuja kwa gia ya kuhudumia mtoto? Kulipa ada ya shule
Mkuu tunajifunza kwa makosa ila hata Mimi nilifaidika kuwa nae ndio hivyo baadae Mambo yakawa mengiNice Guy... Haya bana
Wanawake walio wengi hawathamini msaada au kujitoa kwa mwanaume ambaye sio babake au kakake.Habari wanajf
Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na sio single mother wa Kwanza na karibia wote wana changamoto zinazofanana. Mwaka wangu wa Kwanza nikiwa nae nilienjoy ile mbaya na nilibeba malezi yote ya mtoto wake kiasi ambacho yule mtoto akanipenda na nilitumia muda wangu mwingi kwaajili yake maana baba wa mtoto alikataa kumuhudumia mtoto na kumuacha kabisa mwanamke akiwa kwenye Hali ngumu ndio akakutana na Mimi
Kwa kweli kama ni mapenzi niliyapata kutoka kwa huyo single mother mpaka nikahisi Dunia nzima mwanaume nipo pekee yangu, mwaka wa pili Mambo ndio yalianza kubadilika baada ya yule mzazi mwenza kurudi kwa Kasi na Mimi nikawa ile heshima ninayopewa ikapungua kwasababu mzazi mwenza alijiongeza zaidi yangu alikuwa anafanya vitu kwa chini chini Mimi bila kujua kumbe ada za mtoto akawa analipa mpaka mahitaji ya mama, kitu kilikuja kunichosha kumbe wanaishi pamoja maana Mimi nilikuwa naishi tofauti na yeye.
Hapo akawa ananifanyia ujeuri, mzigo sipati kwa wakati, majibu ya ovyo nilikuwa nayapata yaani kasahau yote niliyofanya juu yake na upendo ninaomuonesha kisa mzazi mwenzake Karudi kwenye maisha yake ebu vaa kiatu changu alafu tukiwa tunawasema tunaonekana tunawaonea
Imagine mwanaume kakuacha ukiwa una umwa ile mbaya Huna hata hela ya matibabu, haudumii mtoto wake na alikuwa amefukuzwa kazi na mtoto anadaiwa ada alafu anakuja kunipata Mimi namsovia vipengele vyake alafu kirahisi anarudiana na huyo mzazi mwenza hii ni akili ya namna gani? Na karibia single mothers wote wako hivi sijui huwa Wana agano gani na wazazi wenza wao?
Wewe utakuwa umeoa single mother ndio maana unatetea hoja yako Sasa unabishana vipi na Mimi, Single mother yoyote ukitaka umteke moyo wake umpende mtoto wake Kwanza na muhudumie vizuri na hata Mimi kipindi nipo nae financial ilikuwa vizuri ya kusupport mtoto wake na yeye mwenyewe na ndio maana nikamteka moyo wake na kipindi hiko chote manzi alikuwa ananitii,ananiheshimu vizawadi nilikuwa napata sana kwake mzigo nagonga navyotaka Mimi ila nilipo drop kidogo nakupungunguza kumuhudumia mtoto mzazi mwenzake ndio akatumia huo mwanya kunizidi kete alikuwa anatoa huduma ya mtoto na matumizi hapa ndio akabadili moyo wa mzazi mwenza.Hata asingekuwa na mtoto angekuja na gia nyingine na mwanamke angekubali tu.
Unajaza vipi mimba mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa kutokana na sababu kadhaa zenye mashiko kwangu mwanamke yoyote akiwa na mtoto huwa sioi ila mawazo yanaweza kubadilika kulingana na namna nitavyoishi nae.Nampenda mwanamke mwenye kufuata na mtiifu wa principles zanguKwahiyo mmekaa miaka miwili nahaukumjaza mimba?
Sasa kwanini unalalama kama hukua na mpango naye? Nayeye inawezekana alishakuona huna mpango naye ndio akajiongeza.Unajaza vipi mimba mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa nilikuwa nae kuliwazana tu ila kwangu mwanamke yoyote akiwa na mtoto huwa sioi
Ukiwa kwenye mahusiano na mdada yoyote lazima uwe na mpango ila mipango juu yake inaweza kufa kulingana na matendo yake na pia unaweza kuwa na mwanamke Huna mpango nae kulingana au kutokana labla na vibe iliwakutanisha but namna atakavyokuwa kwako ukabidili mawazo yako. ukisoma vizuri nitakuwa nimekujibu vizuriSasa kwanini unalalama kama hukua na mpango naye? Nayeye inawezekana alishakuona huna mpango naye ndio akajiongeza.
Nakubali na sipingi Zaidi ya hapo Bold kwa red hayo maneno ya Kataa single mother!Miaka nenda rudi Ilishasemwa sana humu JF, usioe single mother, kataa single mother.
Kama kuna ambaye bado haelewi basi lolote limkute.
If you don't learn the soft way, you will learn the hard way.
Kumbe baba mtoto alikuwa hana kazi kwa hiyo hana pesa ndo wewe ukajiingiza?mwanaume kakuacha ukiwa una umwa ile mbaya Huna hata hela ya matibabu, haudumii mtoto wake na alikuwa amefukuzwa kazi na mtoto anadaiwa ada alafu anakuja kunipata Mimi namsovia vipengele vyake alafu kirahisi anarudiana na huyo mzazi mwenza hii ni akili ya namna gani?