Hivi baadhi ya wanaooa Single mothers wakiwa sio single fathers huwa Wana ujasiri wa aina gani?

Hivi baadhi ya wanaooa Single mothers wakiwa sio single fathers huwa Wana ujasiri wa aina gani?

Baadhi ya maneno niliyoambiwa ...

"... Ujue hakuna mimba ya bahati mbaya, tunapompenda huwa tupo tayari kwa lolote"....X

"Sisi tukimpe da mtu huwa tunamzalia maana huwa tunakuwa na malengo naye"....Y

"Wanawake wanaendeshwa na hisia na huwa hawamsahau mtu alikuwa na hisia nae kwa kiasi kikubwa"....Z


"Umeona ile filamu ya Titanic? Basi yule Rose hakuwa na kumbukumbu za upendo kwa mumewe aliyezaa nae mpaka kuzeeka kuzidi za ujanani aliwa na Jack"....

Hitimisho:
Hakuna aliyeweza na atakayeweza na atakayekuja kuweza kumtenganisha bebdad na singo maza. Ukiwa na singo maza ni kama mke wa mtu ameamua kukuchepukia.
Vipi aliemtoa bikra ana nafasi gani
 
Back
Top Bottom