Hivi baadhi ya wanaooa Single mothers wakiwa sio single fathers huwa Wana ujasiri wa aina gani?

Hivi baadhi ya wanaooa Single mothers wakiwa sio single fathers huwa Wana ujasiri wa aina gani?

Anataka mrudiane kwa nini? Au huko alipotaka kurudi mkeka ulichanika?
Japo sikujua na Wala sikutaka kujua alikuwa ananiomba mpaka analia kama ningekuwa Nina roho ndogo ningemsamehe ila ndio hivyo nilimchinjia baharini
 
Bado anakutafuta mrudiane??
Kama bado anakutafuta mkubalie halafu umpige mimba umuongezee jukumu la kulea ili atulize kugawa na ww uwe unajipigia unavyotaka.
 
Japo sikujua na Wala sikutaka kujua alikuwa ananiomba mpaka analia kama ningekuwa Nina roho ndogo ningemsamehe ila ndio hivyo nilimchinjia baharini
Bado anakutafuta mrudiane??
Kama bado anakutafuta mkubalie halafu umpige mimba umuongezee jukumu la kulea ili atulize kugawa na ww uwe unajipigia unavyotaka.
 
Bado anakutafuta mrudiane??
Kama bado anakutafuta mkubalie halafu umpige mimba umuongezee jukumu la kulea ili atulize kugawa na ww uwe unajipigia unavyotaka.
Huo ushauri wako siwezi kuufuata nitazaa na mwanamke nitakayemuoa not otherwise
 
Sasa unao single mama wanini single mama sio wakuoa kabisaa
 
Sasa unao single mama wanini single mama sio wakuoa kabisaa
Ushawahi kukutwa na jambo chief juu ya kuwa na mahusiano na ma single mother ili utusimulie tujue kwa nini hawa watu hawafai.
 
Baadhi ya maneno niliyoambiwa ...

"... Ujue hakuna mimba ya bahati mbaya, tunapompenda huwa tupo tayari kwa lolote"....X

"Sisi tukimpe da mtu huwa tunamzalia maana huwa tunakuwa na malengo naye"....Y

"Wanawake wanaendeshwa na hisia na huwa hawamsahau mtu alikuwa na hisia nae kwa kiasi kikubwa"....Z


"Umeona ile filamu ya Titanic? Basi yule Rose hakuwa na kumbukumbu za upendo kwa mumewe aliyezaa nae mpaka kuzeeka kuzidi za ujanani aliwa na Jack"....

Hitimisho:
Hakuna aliyeweza na atakayeweza na atakayekuja kuweza kumtenganisha bebdad na singo maza. Ukiwa na singo maza ni kama mke wa mtu ameamua kukuchepukia.
 
😂😂😂😂 sawa chief

Vipi lakini kwa nini usiendelee kumpiga mjegeje kama bado anakuchek?
Maamuzi niliyofanya ndio Sheria huwa sigeuki nyuma wanawake ni wengi kwanini un'gan'ganie ex
 
Habari wanajf

Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na sio single mother wa Kwanza na karibia wote wana changamoto zinazofanana. Mwaka wangu wa Kwanza nikiwa nae nilienjoy ile mbaya na nilibeba malezi yote ya mtoto wake kiasi ambacho yule mtoto akanipenda na nilitumia muda wangu mwingi kwaajili yake maana baba wa mtoto alikataa kumuhudumia mtoto na kumuacha kabisa mwanamke akiwa kwenye Hali ngumu ndio akakutana na Mimi

Kwa kweli kama ni mapenzi niliyapata kutoka kwa huyo single mother mpaka nikahisi Dunia nzima mwanaume nipo pekee yangu, mwaka wa pili Mambo ndio yalianza kubadilika baada ya yule mzazi mwenza kurudi kwa Kasi na Mimi nikawa ile heshima ninayopewa ikapungua kwasababu mzazi mwenza alijiongeza zaidi yangu alikuwa anafanya vitu kwa chini chini Mimi bila kujua kumbe ada za mtoto akawa analipa mpaka mahitaji ya mama, kitu kilikuja kunichosha kumbe wanaishi pamoja maana Mimi nilikuwa naishi tofauti na yeye.

Hapo akawa ananifanyia ujeuri, mzigo sipati kwa wakati, majibu ya ovyo nilikuwa nayapata yaani kasahau yote niliyofanya juu yake na upendo ninaomuonesha kisa mzazi mwenzake Karudi kwenye maisha yake ebu vaa kiatu changu alafu tukiwa tunawasema tunaonekana tunawaonea

Imagine mwanaume kakuacha ukiwa una umwa ile mbaya Huna hata hela ya matibabu, haudumii mtoto wake na alikuwa amefukuzwa kazi na mtoto anadaiwa ada alafu anakuja kunipata Mimi namsovia vipengele vyake alafu kirahisi anarudiana na huyo mzazi mwenza hii ni akili ya namna gani? Na karibia single mothers wote wako hivi sijui huwa Wana agano gani na wazazi wenza wao?
kuanzaga mechi 1-0 ndio kitu nilishindwa
 
Back
Top Bottom