- Thread starter
- #41
Kumbe nyie ndio mnaotengeneza single mothers alafu hamuhudumii watoto wenu kwanini uzae na mwanamke ambaye bado hujafanya maamuzi ya kumuoa? Hivi unaona Raha kuwa na watoto ambao umezaa na mama tofauti tofauti? Unajenga aina gani ya familia?Swali zuri mkuu, Mwanamke mpe mimba, ukimkuta ni single mother na wewe mpe mimba zako, sasa unakaa nae wa nini kama humpi mimba akakuzalia?