Hivi baadhi ya wanaooa Single mothers wakiwa sio single fathers huwa Wana ujasiri wa aina gani?

Kumbe baba mtoto alikuwa hana kazi kwa hiyo hana pesa ndo wewe ukajiingiza?

Kwa kifupi wewe ndo uliingilia familia ya watu - mume, mke, mtoto.

Kuachanisha wazazi wenye mtoto siyo rahisi bro, lazima ubaki kuwa mchepuko tu
Mwamba unashida ya kuelewa kidogo hapo ninayemzungumzia ni huyo single mother kaachwa na mzazi mwenza akiwa ana umwa, kafukuzwa kazi n.k sio huyo mzazi mwenza mbona kichwa kigumu soma vizuri
 
Mwamba unashida ya kuelewa kidogo hapo ninayemzungumzia ni huyo single mother kaachwa na mzazi mwenza akiwa ana umwa, kafukuzwa kazi n.k sio huyo mzazi mwenza mbona kichwa kigumu soma vizuri
Sawa nimekusoma broo.

Ila zingatia kuwa ukiacha mjane pekee, hakuna singo mom asiye na mume wake. Hata wakikosana hupatana baadaye kwa maslahi ya mtoto wao.

So, uki date na hao manzi unatafuta kuumia kwa kupotezewa muda, kipigo au kupakwa mafuta
 
Waza kwanza wewe ni mwanamke uko tayari kuzaa kama mbwa kila mtoto na baba yake ?
Ukimaliza kuwaza njoo tujadiliane
 
Ukitaka kuoa au kuishi na single mothers hakikisha bwaanake amekufa yaani hayupo duniani

Na sio kwa kuambiwa tu omba uoneshwe ata kaburi lake

And if possible fukua Hilo kaburi chukua mifupa yake peleka kwa mkemia Mkuu wa serikali kwa ajiri ya DNA test

Majibu utakayopewa ndo yakupe mwongozo wa kuishi nae au la
 
"Young man: no matter how well you treat a lady, if you are not the man she has feelings for she will never appreciate your efforts. Ladies are loyal to their feelings, they do not care about your sacrifices. You have heard." Anonymous

Hata kama sio single mother ni kuwa hawezi kusaliti hisia zake. Wanawake wengi tu ambao sio single mama wamewasaliti watu wao hadharani kwa kupata wale watu wenye hisia nao.
 
Mkuu, heshima uchwara, ngono wanatoa tu wakiamua kulingana na maslahi wanayopata, Ila ikishafikia ukomo wa kujifanya anakupenda sababu ya kuhalalisha usaliti atakaokufanyia hatokosa. Kwanini hakukuzalia na wewe kama uliuteka moyo wake?
 
Umeongea kwa jazba sana kijana, hebu tulia kunywa kwanza maji, take a cooling break.

Pole sana kwa yaliyokusibu.
 
Mkuu, heshima uchwara, ngono wanatoa tu wakiamua kulingana na maslahi wanayopata, Ila ikishafikia ukomo wa kujifanya anakupenda sababu ya kuhalalisha usaliti atakaokufanyia hatokosa. Kwanini hakukuzalia na wewe kama uliuteka moyo wake?
Mimi ndio sikuwa tayari kuzaa na nikawambia muda ukifika sahihi nitamwambia ila kwanini mnaona dili sana kuzaa Mimi nilitegemea uniulize swali la msingi sana kuzaa ni maamuzi ya mtu nani kakuambia ukidate na mtu miaka 2 ni lazima uzae nae? hata angekuwa pia Hana mtoto kwangu ni bado muda mdogo kufanya maamuzi ya kuzalisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…