Hivi baba mlezi ana haki kwa mtoto aliyemlea

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Wanajf naomba kuuliza hili suala je baba mzazi ana haki kwa mtoto aliyemlea was baba mwingine naomba wataalam washeria watujuze pia waungwana
 
Ana wajibu Ila Hana haki
Wajibu wa kumhudumia kama mwanaye
 
Mzazi/mlezi hana haki kwa mtoto.

Bali mtoto ana haki kwa baba/mlezi.

Mtoto anaweza kudai haki kutoka kwa mzazi ila mzazi hawezi kudai haki ikiwemo matunzo kutoka kwa mtoto
 
Kwa kifupi wazazi tuna wajibu wa kulea watoto wetu lakini watoto hawana wajibu wa kulea wazazi ni mapenzi tu.
 
mzazi ni mzazi hata kama ni mlezi kwaweli kwasababu hatujui mangapi wamepitia nasisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…