ommytk JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 520 Reaction score 1,143 Jan 19, 2021 #1 Wanajf naomba kuuliza hili suala je baba mzazi ana haki kwa mtoto aliyemlea was baba mwingine naomba wataalam washeria watujuze pia waungwana
Wanajf naomba kuuliza hili suala je baba mzazi ana haki kwa mtoto aliyemlea was baba mwingine naomba wataalam washeria watujuze pia waungwana
M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,585 Reaction score 7,766 Jan 19, 2021 #2 Ana wajibu Ila Hana haki Wajibu wa kumhudumia kama mwanaye
Hakainde JF-Expert Member Joined Jul 30, 2020 Posts 2,401 Reaction score 2,872 Jan 19, 2021 #3 Mzazi/mlezi hana haki kwa mtoto. Bali mtoto ana haki kwa baba/mlezi. Mtoto anaweza kudai haki kutoka kwa mzazi ila mzazi hawezi kudai haki ikiwemo matunzo kutoka kwa mtoto
Mzazi/mlezi hana haki kwa mtoto. Bali mtoto ana haki kwa baba/mlezi. Mtoto anaweza kudai haki kutoka kwa mzazi ila mzazi hawezi kudai haki ikiwemo matunzo kutoka kwa mtoto
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jan 19, 2021 #4 Kwa kifupi wazazi tuna wajibu wa kulea watoto wetu lakini watoto hawana wajibu wa kulea wazazi ni mapenzi tu.
Kwa kifupi wazazi tuna wajibu wa kulea watoto wetu lakini watoto hawana wajibu wa kulea wazazi ni mapenzi tu.
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 7,895 Reaction score 13,643 Jan 19, 2021 #5 Kwani Bi'Sandra anasemaje?
Mokobe JF-Expert Member Joined Sep 25, 2020 Posts 1,249 Reaction score 1,546 Jan 19, 2021 #6 mzazi ni mzazi hata kama ni mlezi kwaweli kwasababu hatujui mangapi wamepitia nasisi
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Jan 19, 2021 #7 Alokulea ndio baba