Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
swali gani hili tena mkuu we unadhani hayo ameandika mtu serious na akili zake ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila basi pia ni muhimu tuishi na hawa Watoto wetu kwa tahadhari tukijua kuwa kuna wanayoyajua, na tusi relax kwa kufikiri kwa kuwa bado Mtoto basi hajui chochote.Ahsante..Ni kweli ni ngumu..sio siri huwezi ukahakiki maisha ya mwanao 100% ila tujaribu
ndo mana kuna haja ya kumsoma mtoto na kujaribu kucontrol mazingira flani
Aina ya shule,marafiki zake ,mazingira ya nyumbani
Lakini kubwa zaidi ni kumpa elimu ya kupambanua vitu yeye kama yeye ajue jema na baya
hapo elimu ya dini madrasa na makanisani inasaidia pia
Kumpa mtoto vitabu vizuri vya kusoma awe anapata 'exposure' zaidi ya situations na maisha nk