Hivi bado hatuoni haja ya kuwafundisha Watoto wetu elimu ya uzazi/viungo vyao vya uzazi tangu utotoni?

Ila basi pia ni muhimu tuishi na hawa Watoto wetu kwa tahadhari tukijua kuwa kuna wanayoyajua, na tusi relax kwa kufikiri kwa kuwa bado Mtoto basi hajui chochote.
 
Afya ya uzazi ni elimu pana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…