Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kwa mwenendo wa checheme huu kweli kuna mashabiki wanaamini timu yao itachukua ubingwa? Kesho wanadondosha point mbele ya Manchester City. Nina uhakika kwa asilimia 100 akijitahidi ni kupata sare.
Timu langu Liverpool hali ni mbaya, nikawa natamani sana Arsenal iuchukue ubingwa badala ya kwenda kwa kipara ngoto. Naiona Man U nayo inakuja kwa pumzi ya moto.
Hatari sana!
Timu langu Liverpool hali ni mbaya, nikawa natamani sana Arsenal iuchukue ubingwa badala ya kwenda kwa kipara ngoto. Naiona Man U nayo inakuja kwa pumzi ya moto.
Hatari sana!