Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
- Thread starter
- #21
I see 🤔Bado nina imani kali sana, man city yupo vizuri ila bado atadondosha points zisizopungua 7 mpaka msimu unaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I see 🤔Bado nina imani kali sana, man city yupo vizuri ila bado atadondosha points zisizopungua 7 mpaka msimu unaisha
Upuuzi wa kocha kutomweka bench Martinelli ndio utatukosha ubingwa Wala so VAR Wala marefaKwa mwenendo wa checheme huu kweli kuna mashabiki wanaamini timu yao itachukua ubingwa? Kesho wanadondosha point mbele ya Manchester City. Nina uhakika kwa asilimia 100 akijitahidi ni kupata sare.
Timu langu Liverpool hali ni mbaya, nikawa natamani sana Arsenal iuchukue ubingwa badala ya kwenda kwa kipara ngoto. Naiona Man U inakuja kwa pumzi ya moto.
Hatari sana!
Hakuna mwenye uhakikaMna uhakika wa kushinda zote?
[emoji28]Kwa mwenendo wa checheme huu kweli kuna mashabiki wanaamini timu yao itachukua ubingwa? Kesho wanadondosha point mbele ya Manchester City. Nina uhakika kwa asilimia 100 akijitahidi ni kupata sare.
Timu langu Liverpool hali ni mbaya, nikawa natamani sana Arsenal iuchukue ubingwa badala ya kwenda kwa kipara ngoto. Naiona Man U nayo inakuja kwa pumzi ya moto.
Hatari sana!
City hayuko vizuri,game ya efl sijui carabao sikutegemea iwe vile,timu za EPL Sasa hivi zinapaki basi zikicheza na arsenal, arsenal ukifungua wanakupigaMna uhakika wa kushinda zote?
Utani huu mkuuArsenal huu mwaka wetu.. Kesho mtu anapigwa kama ngoma.
Nakubaliana nawe kabisa.Ikitokea arsenal kaukosa ubingwa, atajilaum sana kuliko misimu yote aloukosa.
Mm natamani KUONA wakichukua...Kwa mwenendo wa checheme huu kweli kuna mashabiki wanaamini timu yao itachukua ubingwa? Kesho wanadondosha point mbele ya Manchester City. Nina uhakika kwa asilimia 100 akijitahidi ni kupata sare.
Timu langu Liverpool hali ni mbaya, nikawa natamani sana Arsenal iuchukue ubingwa badala ya kwenda kwa kipara ngoto. Naiona Man U nayo inakuja kwa pumzi ya moto.
Hatari sana!
Imeanza kuangalia mpira lini!?..2008 ilikuaje!?Ikitokea arsenal kaukosa ubingwa, atajilaum sana kuliko misimu yote aloukosa.