Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Arsenal bwana mwaka usipinduke kwao kosa daah 😂Kipara anabeba hili tena, team inayoweza kimbizana nae haipo vizuri.
Kuna mtu alisema ile match vs City, Carabao sijui FA walikuwa pungufu( key players wao hawakuwepo) sasa Tungojee hii. Watapiga kipara kama ngoma 🤣🤣🤣Arsenal bwana mwaka usipinduke kwao kosa daah 😂
Kipara wa man city au kipara wa man u?Kwa mwenendo wa checheme huu kweli kuna mashabiki wanaamini timu yao itachukua ubingwa? Kesho wanadondosha point mbele ya Manchester City. Nina uhakika kwa asilimia 100 akijitahidi ni kupata sare.
Timu langu Liverpool hali ni mbaya, nikawa natamani sana Arsenal iuchukue ubingwa badala ya kwenda kwa kipara ngoto. Naiona Man U inakuja kwa pumzi ya moto.
Hatari sana!
Kipara wa cityKipara wa man city au kipara wa man u?
Kesho wanapigwa nakuambia sikimbii uzi. Akijitahidi chupi mkononi drooKuna mtu alisema ile match vs City, Carabao sijui FA walikuwa pungufu( key players wao hawakuwepo) sasa Tungojee hii. Watapiga kipara kama ngoma 🤣🤣🤣
Kipara ni mmoja tu🤣🤣🤣🤣, huyo mwingine hatujazoea muita hvyo.Kipara wa man city au kipara wa man u?
🤣🤣🤣🤣🤣Kipara on mission, mtu mkatili sana.. sad Arsenal wameshindwa kutake advantage Wakati anapoteza.Kesho wanapigwa nakuambia sikimbii uzi. Akijitahidi chupi mkononi droo
Uamuzi ni wao,duh hope arsenal watazinduka
Una roho ngumu😬Muda tunao na nafasi tunayo sioni sababu ya kuanza kukata tamaa
Kanishangaza jamaa kuuliza vile.Kipara ni mmoja tu🤣🤣🤣🤣, huyo mwingine hatujazoea muita hvyo.
Bado nina imani kali sana, man city yupo vizuri ila bado atadondosha points zisizopungua 7 mpaka msimu unaishaUna roho ngumu😬
🤣🤣🤣🤣🤣Kanishangaza jamaa kuuliza vile.
Mna uhakika wa kushinda zote?Bado nina imani kali sana, man city yupo vizuri ila bado atadondosha points zisizopungua 7 mpaka msimu unaisha