Hivi bado kuna mashabiki wa Arsenal wanaamini watapata ubingwa msimu huu?

Upuuzi wa kocha kutomweka bench Martinelli ndio utatukosha ubingwa Wala so VAR Wala marefa
 
[emoji28]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mm natamani KUONA wakichukua...

Arsenal wana bahati na miaka inayo ishia 3

What's 2003 happened huu itakua mwaka wao this year is for arsenal.....

Arsenal last won the Premier League title in 2003/04, gaining 90 points over the course of 38 games without losing a single match.....


Mm sio shabiki wa arsenal ila nawaombea mema...
 
Kombe tunabeba bila ubishi tena tukiwa na mechi kadhaa mkononi

City anagongwa vizuri tu
 
Kombe tunabeba bila ubishi tena tukiwa na mechi kadhaa mkononi

City anagongwa vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…