Hivi bado kuna mashabiki wa Arsenal wanaamini watapata ubingwa msimu huu?

Tuambie kwanza we Timu yako ipo nafasi ya ngapi? Pia Google uelewe maana ya ligi.......
 
Kwa mwendo wa mechi 2 zilizopita na ya jana nimenza kukata tamaa,unless kama walikuwa wanazivuta baadhi ya timu ili kuwe na upinzani na ligi ipate pesa ya kutosha,kinyume cha hapo hawataweza kuchukua kombe...
 
Tupo mkuu, tutashinda taji la EPL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…