Ndio hapo ajisemee yeye hana hela sio woteHiyo pesa inatolewa akija kwa mazungumzo tu, tena bila masharti
Ndio hapo ajisemee yeye hana hela sio wote
Mm hela hiyo simpi mwanamke sio kwa usawa huu wa magu. Familia iteseke kwa Siku moja na istoshe k yenyewe ukute inamaji wala radha haina puuuuuuuuhNaamini mko poa sana wakuu.
Juzi juzi katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja then baada ya siku chache nikamuomba tuwe wote,ila yeye akajibu hahitaji mahusiano labda kama ni starehe kila mtu awe na hamsini zake. Nikaona isiwe shida nikaomba bei ya usiku mmoja bill aliyonipa bila kupepesa akanipa 50,000/# nikamwambia ajr ili tuongee zaidi.alichonichosha,anaishi kana mita 20 kutoka kwangu akaniambia achukuwe pikipiki na nije nilipe na hiyo ni nije ya makubaliano
Nikawaza kwa sauti hivi kwa usawa huu kweli bado yuko MTU anahonga 50000./# per night na usafiri huu yako na ikibidi chumba huu yako na kama ni kwako na sabuni ya kufulia shuka juu yako kweli???
ha ha ha haaaaaa umeisha mkuuMbona kuna mabeki tatu wazuri tu ...me nawaitaga cheap labor .
kweli mkuu.Funga ndoa mkuu magonjwa mengi siku hizi.
Ngumu sana. Watu hawatumii hata kinga.Jamani kwa style hii UKIMWI utaisha kwel
Starehe gharama bwana mdogo.kama hautaki gharama tafuta mke.Naamini mko poa sana wakuu.
Juzi juzi katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja then baada ya siku chache nikamuomba tuwe wote,ila yeye akajibu hahitaji mahusiano labda kama ni starehe kila mtu awe na hamsini zake. Nikaona isiwe shida nikaomba bei ya usiku mmoja bill aliyonipa bila kupepesa akanipa 50,000/# nikamwambia ajr ili tuongee zaidi.alichonichosha,anaishi kana mita 20 kutoka kwangu akaniambia achukuwe pikipiki na nije nilipe na hiyo ni nije ya makubaliano
Nikawaza kwa sauti hivi kwa usawa huu kweli bado yuko MTU anahonga 50000./# per night na usafiri huu yako na ikibidi chumba huu yako na kama ni kwako na sabuni ya kufulia shuka juu yako kweli???
Ni wewe nini?Baki na hamu zako kama pochi yako imetoboka. Mjini cha bure salam tu.
Hapa hapa mjiniAcha utani mkuu ....unaishi wapi
Hapa hapa mjini