Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upole nadhani una kishindo baadae. Anamuachia Tundu Lissu afanye afanyavyoweeee matakeo ya kura piga ua ndio hapati. Hataki visingizio viwe vingi. Sema hili la kuwaengua wagombea wa upinzani sidhani km Jiwe amelipenda maana Lissu kashapata pakuongelea.Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa toka Lissu arudi nchini tabia ya mh Jiwe ilibadilika ghafla; akawa mpoleeeeee.
Huyu jamaa atakuwa mpole zaidi akienda Bukoba kwa Wahaya kuomba kura!! Akidhania wamesahau matusi aliyowatukana baada ya tetemeko.
The answer is yes...akili imehamia kwenye kuzuia goli la mkonoHabarini.
Kweli kabisa yaani mgombea akijaza nyomi kwenye mkutano wake wa kampeni kwenye chama fulani cha siasa inaashiria ushindi????
Imani gani hizi. Nimekua nafuatilia sana hapa jukwaani kila mtu anaulizia nyomi vipi huko. Tumeni picha. Sijui tunataka aerial view.
Yaani mmeyasahau yale ya Lowasa kujaza na kuambulia kuanguka.
Watu wanajazana kwa mambo mengi sana
1)kwenda kumuona mgombea live bila chenga
2) Kama kuna wasanii wanatumbuiza baasi kwenda kuburudika
3)Kwenda kupunguza stress za maisha.
4) Mtu hana kazi ya kufanya anaamua akajichanganye tu. Akija ccm anaenda, chadema anaenda. Hili kundi kubwa sana. Ajira ni shida kwa sasa.
5) kazini kwake kapewa ki memo lazima aende asipoenda hatua kali za nidhamu dhidi yake zita hukuliwa.
6)Kampeni ni tukio la historia mtu anataka aende akajionee. Miaka 5 ijayo hajui atakua wapi. Labda akhera.
7)Wachache sana wanaenda kusikiliza sera za mgombea na kuamua nani wa kumpa. Hawa ndio walitakiwa wawe wengi lkn ni kinyume.
8)..........
Kwanza ieleweke wengi wanaoenda kwenye hii mikutano unakuta hata hawatapiga kura kwa kutokua na kadi ya mpiga kura ama kutofikisha umri.
Hivyo wakuu wa vyama vyote hem tuache kujifariji na haya manyomi tusije tukaja kufa kwa pressure buureee.
Mmh! Umepotea njia mkuu. Uko jukwaa gani hapa?Habarini.

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYEREREIt is not absolute, but a good indicator of how people think of you! Jiwe akija nilipo siwezi kutoka hata nje! Lipumba vile vile..... Lakini akija Rungwe, nitamsikiliza
NECCCM Tumeccm wanatembea na na matokeo ya Urais mifukoni saa 24, kwa maana ingine CCM walishajitangazia ushindi kinyemela hata watanzania wasipowapigia kura wakaipigia chadema wao wataitangazia CCM ushindi kwa nguvu, kwa lugha ingine ni kama hakuna haja ya kampeni na uchaguzi kwa CCM na Tumeccm tayari wanajua watachokwenda kikifana October.Swali hili linaulizwa sana pale chama cha upinzani kinapopata wahudhuriaji wengi.Vipi kuhusu wasanii kibao Dodoma?
CCM imezungumza peke yake kwa miaka mitano na waona mbali tulisema siku mkiruhusu wengine wazungumze matobo yatakuwa mengi ya kuziba.
Hapo bado Pemba!
Usiwe na wasiwasi,CCM itashinda lakini itakuwa imejifunza!!
Mwaka 2015 Lowasa alishinda lakini wakamwibia kura zakeKweli ndiyo maana Lowasa katika mikutano yake hakuwa na watu kabisaaa nalipata kura 8 milion na zingine aliibiwa na Lisu hana watu kabisaaaaa atapata kura zote
Chaguzi zote mnaiba kura.... Mf 2015 lowasa won but mlibadili results. Thus time around we'll seeHabarini.
Kweli kabisa yaani mgombea akijaza nyomi kwenye mkutano wake wa kampeni kwenye chama fulani cha siasa inaashiria ushindi????
Imani gani hizi. Nimekua nafuatilia sana hapa jukwaani kila mtu anaulizia nyomi vipi huko. Tumeni picha. Sijui tunataka aerial view.
Yaani mmeyasahau yale ya Lowasa kujaza na kuambulia kuanguka.
Watu wanajazana kwa mambo mengi sana
1)kwenda kumuona mgombea live bila chenga
2) Kama kuna wasanii wanatumbuiza baasi kwenda kuburudika
3)Kwenda kupunguza stress za maisha.
4) Mtu hana kazi ya kufanya anaamua akajichanganye tu. Akija ccm anaenda, chadema anaenda. Hili kundi kubwa sana. Ajira ni shida kwa sasa.
5) kazini kwake kapewa ki memo lazima aende asipoenda hatua kali za nidhamu dhidi yake zita hukuliwa.
6)Kampeni ni tukio la historia mtu anataka aende akajionee. Miaka 5 ijayo hajui atakua wapi. Labda akhera.
7)Wachache sana wanaenda kusikiliza sera za mgombea na kuamua nani wa kumpa. Hawa ndio walitakiwa wawe wengi lkn ni kinyume.
8)..........
Kwanza ieleweke wengi wanaoenda kwenye hii mikutano unakuta hata hawatapiga kura kwa kutokua na kadi ya mpiga kura ama kutofikisha umri.
Hivyo wakuu wa vyama vyote hem tuache kujifariji na haya manyomi tusije tukaja kufa kwa pressure buureee.
Mkuu wapo wanaolazimishwa mpaka barua zipo mbona mitandaoni? Za kuwalazmshaHakuna anayewalazimisha wanaenda kwa hiyari yao, hakuna anyewatisha wasipoenda ajira zao zitakuwa mashakani, hakuna anayewapelekea usafiri na kuwashawishi kuhudhuria, ukitafakari hayo utaelewa.
Wewe inaonekana huumjui magu vizuri. Waulize waliokuwa wanaogombea nae ubunge kule Chato, watakwambia figisu alizokuwa anawafanyia hadi mwisho wa siku anabaki peke yake.Upole nadhani una kishindo baadae. Anamuachia Tundu Lissu afanye afanyavyoweeee matakeo ya kura piga ua ndio hapati. Hataki visingizio viwe vingi. Sema hili la kuwaengua wagombea wa upinzani sidhani km Jiwe amelipenda maana Lissu kashapata pakuongelea.
Na mwaka huu amekwama.alijitahidi lakini akafeliWewe inaonekana huumjui magu vizuri. Waulize waliokuwa wanaogombea nae ubunge kule Chato, watakwambia figisu alizokuwa anawafanyia hadi mwisho wa siku anabaki peke yake.
Hapana..nyomi ndogo ndo kiashiria cha ushindi...Habarini.