Hivi BASATA ipo kweli? Inafanya kazi gani kama nyimbo humu nchini ni matusi matupu, BASATA jikagueni kama mnatosha

Hivi BASATA ipo kweli? Inafanya kazi gani kama nyimbo humu nchini ni matusi matupu, BASATA jikagueni kama mnatosha

Anataka nimpeleke serengeti,kilimanjaro,anatoa nilipozoea anataka niweke kwenye mtaro ,she don't she don't like no body.
Huyu kama Harmonize vile. Sio mwenyewe kweli. Mzee wa tembo nadindisha mkonga.
 
Sasa hivi bongo nyimbo za mapenzi hakuna kitu kingine cha kuongelea zaidi ya kut*ana na kuf*rana. Tumekua na wasanii wa hovyo sana, hasa hasa hilo kundi linalopenda kiki.
 
Back
Top Bottom