JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 Mar 16, 2021 #21 King Kong III said: Anataka nimpeleke serengeti,kilimanjaro,anatoa nilipozoea anataka niweke kwenye mtaro ,she don't she don't like no body. Click to expand... Huyu kama Harmonize vile. Sio mwenyewe kweli. Mzee wa tembo nadindisha mkonga.
King Kong III said: Anataka nimpeleke serengeti,kilimanjaro,anatoa nilipozoea anataka niweke kwenye mtaro ,she don't she don't like no body. Click to expand... Huyu kama Harmonize vile. Sio mwenyewe kweli. Mzee wa tembo nadindisha mkonga.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Mar 16, 2021 #22 JAYJAY said: Huyu kama Harmonize vile. Sio mwenyewe kweli. Mzee wa tembo nadindisha mkonga. Click to expand... Ni hamonaizi huyo ila huo wimbo wa kudindisha mkonga radio one wameuedit wamefuta matusi yote.
JAYJAY said: Huyu kama Harmonize vile. Sio mwenyewe kweli. Mzee wa tembo nadindisha mkonga. Click to expand... Ni hamonaizi huyo ila huo wimbo wa kudindisha mkonga radio one wameuedit wamefuta matusi yote.
BabaLove JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 232 Reaction score 338 Mar 17, 2021 #23 Sasa hivi bongo nyimbo za mapenzi hakuna kitu kingine cha kuongelea zaidi ya kut*ana na kuf*rana. Tumekua na wasanii wa hovyo sana, hasa hasa hilo kundi linalopenda kiki.
Sasa hivi bongo nyimbo za mapenzi hakuna kitu kingine cha kuongelea zaidi ya kut*ana na kuf*rana. Tumekua na wasanii wa hovyo sana, hasa hasa hilo kundi linalopenda kiki.