Hivi, bila Tundu Lissu, Mwigulu angepewa uwaziri mkuu unaompwaya?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
1789148560363.png

Sijui kama wengi wanajua ni kwanini Mwigulu aliteuliwa waziri mkuu pamoja kutofaa kabisa. Kwa wajuao, aliteuliwa ili kupingana na Tundu Lissu wanayetoka mkoa mmoja.

Hivyo basi, Mwigulu si waziri mkuu kwa vile ana sifa. Sifa nyingine zaweza kuwa uchawa na uwezeshaji wa upigaji wa pesa kwa ajili ya uchafuzi ulioitwaa uchaguzi alipokuwa waziri wa fedheha.

Hivyo, Mwigulu wala asitupotezee muda kujiona ni presidential material. Si lolote si chochote bali chawa. Haweza hata kuongoza kundi la chawa maskini. Tangu tupate uhuru, hatujawahi kuwa na waziri mkuu wa hovyo kama huyu.
 
Hii so sababu maana si kila tujualo lazima tuliandike mengine tutayaacha kwa Usalama zaidi

Ila MZEE WA MAWE ALIPENDEKEZWA NA KA SLAUGHTERING TEAM (29/10/2025)

Nilipata time nitaandika,

BASHITE naye akidhani Yuko na MZEE WA MAWE

SASA NAO WAMEGEUKANA BAADA TA KUMMALIZA WA SIGARA BRAND
 
Kama mumeo anafaa mbona hajateuliwa?!!! Acha wivu
Japo huwa sibishani na mikunxxyzdu kama wewe, najiridhisha kuwa wewe ni chawa tena chokoo kama siyo nyumbuuu. Hata hivyo, asante kwa comment na kujivunua.
 
Maelekezo hayahitaji kubishana, ni kuyafuata tu. Ahsante kwa ahadi ya kuacha wivu, ndo tunavyotakiwa kuwa hivyo wanaume🙏🙏
 
View attachment 3668659
Sijui kama wengi wanajua ni kwanini Mwigulu aliteuliwa waziri mkuu pamoja kutofaa kabisa. Kwa wajuao, aliteuliwa ili kupingana na Tundu Lissu wanayetoka mkoa mmoja.

Hivyo basi, Mwigulu si waziri mkuu kwa vile ana sifa. Sifa nyingine zaweza kuwa uchawa na uwezeshaji wa upigaji wa pesa kwa ajili ya uchafuzi ulioitwaa uchaguzi alipokuwa waziri wa fedheha.

Hivyo, Mwigulu wala asitupotezee muda kujiona ni presidential material. Si lolote si chochote bali chawa. Haweza hata kuongoza kundi la chawa maskini. Tangu tupate uhuru, hatujawahi kuwa na waziri mkuu wa hovyo kama huyu.
ni ngori :pedroP:
 
Maelekezo hayahitaji kubishana, ni kuyafuata tu. Ahsante kwa ahadi ya kuacha wivu, ndo tunavyotakiwa kuwa hivyo wanaume🙏🙏
Wviu gani tena? Chawa ni chawa hata awe binadamu bado ni chawa. Ukweli unapoitwa wivu jua kuna tatizo tena kubwa tu.
 
Migulu michemba rais wa mawe dalali mipesa mwizi sugu eti nae anataka awe rais kama lile toto pusha la fisadi Kiwete
 
View attachment 3668659
Sijui kama wengi wanajua ni kwanini Mwigulu aliteuliwa waziri mkuu pamoja kutofaa kabisa. Kwa wajuao, aliteuliwa ili kupingana na Tundu Lissu wanayetoka mkoa mmoja.

Hivyo basi, Mwigulu si waziri mkuu kwa vile ana sifa. Sifa nyingine zaweza kuwa uchawa na uwezeshaji wa upigaji wa pesa kwa ajili ya uchafuzi ulioitwaa uchaguzi alipokuwa waziri wa fedheha.

Hivyo, Mwigulu wala asitupotezee muda kujiona ni presidential material. Si lolote si chochote bali chawa. Haweza hata kuongoza kundi la chawa maskini. Tangu tupate uhuru, hatujawahi kuwa na waziri mkuu wa hovyo kama huyu.
Hiyo paragraph yako ya pili ndio sababu muhimu.
 
Hivi, tuache utani, unaona umeandika hoja nzito kweli kweli ee?!!!
Ni hoja nzito kwa wenye akili ila ya hovyo kwa machawa. Sijui wewe unaoionaje na kujifikiriaje kwa uoni wako potofu? Umetumwa au umejituma au unatafuta ujulikane utumwe lau uambue makombo?
 
Mwigulu uwaziri mkuu ameutendea haki, anaogopwa sana na wala rushwa,wazembe serikalin, kama hujui
 
Back
Top Bottom