Hivi, bila Tundu Lissu, Mwigulu angepewa uwaziri mkuu unaompwaya?

Hivi, bila Tundu Lissu, Mwigulu angepewa uwaziri mkuu unaompwaya?

View attachment 3668659
Sijui kama wengi wanajua ni kwanini Mwigulu aliteuliwa waziri mkuu pamoja kutofaa kabisa. Kwa wajuao, aliteuliwa ili kupingana na Tundu Lissu wanayetoka mkoa mmoja.

Hivyo basi, Mwigulu si waziri mkuu kwa vile ana sifa. Sifa nyingine zaweza kuwa uchawa na uwezeshaji wa upigaji wa pesa kwa ajili ya uchafuzi ulioitwaa uchaguzi alipokuwa waziri wa fedheha.

Hivyo, Mwigulu wala asitupotezee muda kujiona ni presidential material. Si lolote si chochote bali chawa. Haweza hata kuongoza kundi la chawa maskini. Tangu tupate uhuru, hatujawahi kuwa na waziri mkuu wa hovyo kama huyu.
Singida wana kipi au nguvu gani ya kupelekea mbunge wao apewe Uwaziri Mkuu ili kuwatuliza?
 
Back
Top Bottom