Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Duu huu watu wanakauli mbovu sana? Ni stress au ni uchawa?Kama mumeo anafaa mbona hajateuliwa?!!! Acha wivu
Japo huwa sibishani na mikunxxyzdu kama wewe, najiridhisha kuwa wewe ni chawa tena chokoo kama siyo nyumbuuu. Hata hivyo, asante kwa comment na kujivunua.Kama mumeo anafaa mbona hajateuliwa?!!! Acha wivu
Maelekezo hayahitaji kubishana, ni kuyafuata tu. Ahsante kwa ahadi ya kuacha wivu, ndo tunavyotakiwa kuwa hivyo wanaume🙏🙏Japo huwa sibishani na mikunxxyzdu kama wewe, najiridhisha kuwa wewe ni chawa tena chokoo kama siyo nyumbuuu. Hata hivyo, asante kwa comment na kujivunua.
ni ngoriView attachment 3668659
Sijui kama wengi wanajua ni kwanini Mwigulu aliteuliwa waziri mkuu pamoja kutofaa kabisa. Kwa wajuao, aliteuliwa ili kupingana na Tundu Lissu wanayetoka mkoa mmoja.
Hivyo basi, Mwigulu si waziri mkuu kwa vile ana sifa. Sifa nyingine zaweza kuwa uchawa na uwezeshaji wa upigaji wa pesa kwa ajili ya uchafuzi ulioitwaa uchaguzi alipokuwa waziri wa fedheha.
Hivyo, Mwigulu wala asitupotezee muda kujiona ni presidential material. Si lolote si chochote bali chawa. Haweza hata kuongoza kundi la chawa maskini. Tangu tupate uhuru, hatujawahi kuwa na waziri mkuu wa hovyo kama huyu.
Wviu gani tena? Chawa ni chawa hata awe binadamu bado ni chawa. Ukweli unapoitwa wivu jua kuna tatizo tena kubwa tu.Maelekezo hayahitaji kubishana, ni kuyafuata tu. Ahsante kwa ahadi ya kuacha wivu, ndo tunavyotakiwa kuwa hivyo wanaume🙏🙏
Hiyo paragraph yako ya pili ndio sababu muhimu.View attachment 3668659
Sijui kama wengi wanajua ni kwanini Mwigulu aliteuliwa waziri mkuu pamoja kutofaa kabisa. Kwa wajuao, aliteuliwa ili kupingana na Tundu Lissu wanayetoka mkoa mmoja.
Hivyo basi, Mwigulu si waziri mkuu kwa vile ana sifa. Sifa nyingine zaweza kuwa uchawa na uwezeshaji wa upigaji wa pesa kwa ajili ya uchafuzi ulioitwaa uchaguzi alipokuwa waziri wa fedheha.
Hivyo, Mwigulu wala asitupotezee muda kujiona ni presidential material. Si lolote si chochote bali chawa. Haweza hata kuongoza kundi la chawa maskini. Tangu tupate uhuru, hatujawahi kuwa na waziri mkuu wa hovyo kama huyu.
Mwigulu ndio mti wenye matunda? Basi ni matunda ya sumu.Mti wenye matunda hauishi kupopolewa!
Hivi, tuache utani, unaona umeandika hoja nzito kweli kweli ee?!!!Wviu gani tena? Chawa ni chawa hata awe binadamu bado ni chawa. Ukweli unapoitwa wivu jua kuna tatizo tena kubwa tu.
Ni hoja nzito kwa wenye akili ila ya hovyo kwa machawa. Sijui wewe unaoionaje na kujifikiriaje kwa uoni wako potofu? Umetumwa au umejituma au unatafuta ujulikane utumwe lau uambue makombo?Hivi, tuache utani, unaona umeandika hoja nzito kweli kweli ee?!!!
Huu mti wako una matunda gani zaidi ya uoza?Mti wenye matunda hauishi kupopolewa!
POLE! ... MAFURIKO HAYAZUIWI KWA MIKONO!Huu mti wako una matunda gani zaidi ya uoza?
Ni kweli kwa machawa hasa yanapolingasha chawa maramba makaliooo mafuriko. Kama. ni mafuriko basi ni ya usaha tena wa kichwani.POLE! ... MAFURIKO HAYAZUIWI KWA MIKONO!