Hivi binadamu anaweza kuongea na Mungu wake anayemwamini?

Kwa mimi ninayeamini kuna Mungu aliyeiumba roho yangu, huyo huwa naongea naye kama namuona mbele yangu.
Amekuwa mwema sana kwangu. Karibu mara zote nazomuomba kitu hutenda. Ananifanya Imani yangu ikue kila siku na kumuamini siku zote.
 
Nilidhani hili jambo lipo kwa kila mtu.
Ni kawaida sana kuongea na MUNGU.
Mara nyingine naongea nae mchana kweupe.
Pia ndotoni hunipa maelekezo na tahadhari mbalimbali.
Je?ushawahi kujiuliza yule mtu unaye ongea nae ki moyomoyo ni nani?
N.B. HUyo sio MUNGU.
 
Ni muhimu pia kutambua kuwa wakati watu wanaweza kuamini wanazungumza na Mungu wao, mazungumzo hayo hayawezi kuthibitishwa kisayansi au kuthibitishwa kwa njia ya kawaida. Ni suala la imani ya kibinafsi na uzoefu wa mtu binafsi.
SAYANSI INA UKOMO WAKE,HAIWEZI ANGALAU KINITHIBITISHIA JANA USIKU NDOTO YANGU...NILIOTA NINI?
 
Watu wanaotoka koo za kichifu wanayajua haya.
Ni kweli wanayajua sana hayo,hata mimi nilikuwa huko na nikadhani ndiyo kila kitu ila akatokea Mungu mwingine akamzidi nguvu na mimi nikaachana naye maana sita mungu mnyonge bali nataka mkubwa kuliko wote.
 
Kwa mimi ninayeamini kuna Mungu aliyeiumba roho yangu, huyo huwa naongea naye kama namuona mbele yangu.
Amekuwa mwema sana kwangu. Karibu mara zote nazomuomba kitu hutenda. Ananifanya Imani yangu ikue kila siku na kumuamini siku zote.
Safi sana,ongeza utii utafika mbali sana
 
Nilidhani hili jambo lipo kwa kila mtu.
Ni kawaida sana kuongea na MUNGU.
Mara nyingine naongea nae mchana kweupe.
Pia ndotoni hunipa maelekezo na tahadhari mbalimbali.
Je?ushawahi kujiuliza yule mtu unaye ongea nae ki moyomoyo ni nani?
N.B. HUyo sio MUNGU.
Safi sana nadhani itakuwa alishakwambia na jina lake pia.
 
Ni kweli wanayajua sana hayo,hata mimi nilikuwa huko na nikadhani ndiyo kila kitu ila akatokea Mungu mwingine akamzidi nguvu na mimi nikaachana naye maana sita mungu mnyonge bali nataka mkubwa kuliko wote.
Mungu yeyote ni Mungu tu alimradi anaweza kukidhi yote yatakayomkabili mja awapo hai.Maana siri bora ya uungu ipo katika namna ya ufu.
 
Back
Top Bottom