Hivi binadamu anaweza kuongea na Mungu wake anayemwamini?

Amen,unamjua jina lake lakini?
 
Na kweli,lakini si kuna Mungu mkubwa kuliko wote?au wote ni sawa?
Uungu ni mamlaka na mamlaka hutofautiana baina ya mungu na mungu.Kuna mamlaka za angani, mamlaka za ardhini, mamlaka za mitoni na baharini, mamlaka za moto.n.k.ubora utatofautiana kulingana na ufanisi wa hivyo vitu kwenye ulimwengu wa nyama.
 
Uungu ni mamlaka na mamlaka hutofautiana baina ya mungu na mungu.Kuna mamlaka za angani, mamlaka za ardhini, mamlaka za mitoni na baharini, mamlaka za moto.n.k.ubora utatofautiana kulingana na ufanisi wa hivyo vitu kwenye ulimwengu wa nyama.
Sawa sawa nimekupata.
 

Ndio nilishawah kuongea na Mungu na alishawah kunijia katika Ndoto/ Maono na kunisemesha (Yesu Kristo) ambayo yalikua dhahiri kiasi kwamba ni miaka kadhaa imepita lakini ile picha alvyonijia katika njozi sijawah kuisahau na ile raha niliyoipata rohoni/nafsi. Sijawah kuipata sehemu yoyotee zaidi ya yeye tu akiwa karibu yako, hivyo Mungu wangu ni Yahweh/Yehova, God of Israel
 

Lakini pia humtuma Roho wake mtakatifu naye hukaa katika moyo, na kusema kwake nasikia dhahiri kabisa pasipo kuhisi au kufikiri, yaani ni kama unaongea na mshikaji wako, hapo pembeni mnaweza anzisha mada na akawa anakupitisha Mungu wangu ninayemuamini husema na wanadamu sana saanaa ukimpendeza na kushika maagizo yake na Amri zake pamoja na hukumu zake, na njia zake ukaaamua kumuita na kujitenga na dhambi lazima atakusemesha tu
 
Namjua Mungu alie umba vitu vyote ndio jina ninalo mjua
Uko Wrong , hata shetani pia anaweza kujifanya mungu ambaye ameumba kila kitu, make sure unataja jina la Mungu wako.....Nikutajie majina ya miungu inayosadikika kuumba vitu vyote

Yahweh (in the unity with Yeshua and Holy Spirit)
Allah (God of Muhammad)
Shiva
Brahman
El
Na wengine wengi

Kata ya hawa lazima Mungu wako ni mmoja au anaweza akawa hayupo kwenye list
Ask your god to tell you his name
 
Hongera sana
 
MUNGU..
 
Namuulizaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mudi alianzaga hivi hivi na hekaya zake za Allah

Jitahidi mkuu na wewe unaweza kuanza kushushiwa kitabu [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…