Hivi binadamu anaweza kuongea na Mungu wake anayemwamini?

Hili ni swali linaulizwa na mtu aliyeishia kidato Cha pili na sio member wa jamii forum
Yan uyu hata kidato cha pili hajafika.

Reproduction as topic inaanza kufundishwa standard six

Kweli ujinga ni wa kupingwa
 
Mudi alianzaga hivi hivi na hekaya zake za Allah

Jitahidi mkuu na wewe unaweza kuanza kushushiwa kitabu [emoji23]
Najitahidi mkuu,nataka nishushiwe kitabu kwa kuwaunganisha Waafrika wote.
 
Mungu hayupo labda aongee na akili Yake mwenyewe
 
Hili ni swali linaulizwa na mtu aliyeishia kidato Cha pili na sio member wa jamii forum
Sijaishia la pili nimesoma theory zote origin of life. Tena naamini theory ya organic evolution, Natural selection as coined by Charles Darwin
 
Mungu wako ni mmoja tu aliyekuumba kumuamini au kutomuani hiyo juu yako
 
sijawahi kuongea na Mungu wangu kiuhalisia zaidi ya vile nasali nikiaminini kuwa naongea naye.
Swali kwako.
Mungu ninayemjua kuwa wa kweli anavyoelezewa na vitabu (biblia) kuna muda watu wanaomba anaweza asifanye kile unachoomba kwani yeye ni mjuzi zaidi yetu, hivyo sometimes anakuchunia-mifano ipo mingi
je wewe Mungu wako kila ombi lako anajibu kama unavyotaka wewe au yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…