Hivi binadamu anaweza kuongea na Mungu wake anayemwamini?

inaonekana Mungu ndiye aliongea na wewe na siyo wewe kuongea na Mungu
 
Hapana,ila asipojibu anatoa na sababu.
 
Mkuu nifanyeje ili nickie sauti ya mungu ninae taka kumuabudu kama ilivo kuwa kwako
 
MHuu uzi umejaa wapumbavu wengi sana ....ni kweli Mungu ni lazima yupo ...ila Mungu wa kweli hana mjadala na wanadamu wapumbavu sasa hapa inashangaza kuona wapumbavu wanajidai kujadiliana na Mungu mkuu
 
Kabisa
👍
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

"Ukiamini hakuna Mungu maana yake umegoma kupiga kura"

Hahahahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…