Hivi Bongo Movie kuna mtu ana elimu ya kiwango cha shahada(Degree)?

Mkuu hata Masters ni degree, inaitwa masters degree, na hiyo nyingine ambayo ni first degree inaitwa Bachelor degree na ile ya tatu inaitwa PhD degree. Zote hizo ni degree, sasa ukisema ana degree au masters inaonekana hujui kitu.
Kibongobongo bachelor degree ndio twaitaga ana degree na master degree huwa twaita ana masters, sasa huko kutokujua cjui n kup huko mjuz?
 
Mkuu japo unataka tu kujua list ya graduates kwenye tasnia ya filamu(Bongo Movie),mimi niongezee swali lingine.Hivi graduates wa masuala ya filamu baada ya kupata shahada zao huwa wanaenda wapi?.Bila shaka wanaenda kufanya kazi zingine ambazo hazihusiani na filamu.Kwanini hawafanyi kazi za filamu?,mbona tasnia ya filamu inaonekana ina mapato mazuri tu?.Hata hivyo japo wasanii wengi wa bongo movie hawana elimu ya darasani,binafsi nawapa hongera sana kwa kuibeba sanaa ya uigizaji na filamu mpaka hapo ilipo.Ni wakati sasa wa wasomi wa filamu na uigizaji kutoa mchango wao.BTW,niliwahi kusikia kuwa Kanumba(R.I.P) na Mrisho Mpoto,waliwahi kupata mafunzo(short course) UDSM.
 
wengi form four na wengine hawajaenda shule kabisa ndio maana nazi zinaanguka kutoka kwenye mti wa mwembe, hata bashite hawezi kufikiria kijinga hivi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu hata Masters ni degree, inaitwa masters degree, na hiyo nyingine ambayo ni first degree inaitwa Bachelor degree na ile ya tatu inaitwa PhD degree. Zote hizo ni degree, sasa ukisema ana degree au masters inaonekana hujui kitu.
Hajakuelewa bado itakua ni mmoja wa wanaosema mbona kitambuRisho kimeandikwa MichaeRI wakati unasema unaitwa Maiko
 
Wengi angali km siri za familia wote wanakazi za kwenda na movie kibao tu naonaga onaga misamwanda first choice
Hivi wale nao ni bongo movie kumbe mi nilidhani wanoigiza movie ndo bongo movie kumbe na waigiza tamthilia nao n kundi moja
 
Hivi wale nao ni bongo movie kumbe mi nilidhani wanoigiza movie ndo bongo movie kumbe na waigiza tamthilia nao n kundi moja
Kwa series si movie pia au ikoje hii mdau manake navyojua series ni movie kama ilvyokua power ya 50cent
 
Kwa series si movie pia au ikoje hii mdau manake navyojua series ni movie kama ilvyokua power ya 50cent
Am not sure kama series n movie ila kibongo bongo waigizaji wa tamthilia kwenye tv au wachekeshaji hawako bongo movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…