The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
-
- #81
Nasikia hiyo siri za familia watu wana mikia hatari. Sema hom nina king'amuzi cha dstv eatv haipo. Hata hivyo mimi sio mpenzi wa kuangalia tv, zaidi ya taarifa ya habari hua sina kingine cha kuangalia.Hivi wale nao ni bongo movie kumbe mi nilidhani wanoigiza movie ndo bongo movie kumbe na waigiza tamthilia nao n kundi moja
Exactly mantiki... ni kiasi tu cha kujiuliza tuna wanamuziki wangapi nchi hii na wangapi wamenufaika na mziki wao kiasi cha kukufanya utamani kuimba kufikia mafanikio yao???Hiki ulichokiandika kinahusiana vipi na swali langu?
Diamond kukosa hata Diploma kunahusiana vipi na swali langu?
Diamond ni msanii wa Bongo Movie?
Mbona hata Msukuma au Bashite hawana shule, maisha yao yakoje?
Usionekane tu kua umechangia, changia kitu cha maana.Changia kitu chenye mantiki.
Mkuu mimi nahisi wewe ni learned brother na hata wakuu unaowaandikia hiyo comment they're also learned, sasa why using kibongobongo. Anyway, nimekupata lakini na najua hayo ni mazoea ya wabongo, sasa tusiporekebisha, mazoea hayo yanawafanya wengine wajue Masters siyo degree. Hii inatokana na kwamba, majority tunaishia first degree, hivyo tunaona hiyo ndo degree tu, lakini tungekua wengi tunaeda zaidi ya hapo, tungejua hata hizo zingine ni degree. Pamoja mkuu.Kibongobongo bachelor degree ndio twaitaga ana degree na master degree huwa twaita ana masters, sasa huko kutokujua cjui n kup huko mjuz?
Dhamani ya Elimu no kubwa sana, acha kubeza elimu, kuna mambo wanaigiza na kufanya unajua kabisa kuwa huyu MTU angekuwa na Elimu asingefanya haya, na ndo maana soko linashuka maana hazina uhalisiaKama wana hela, hizo degree sio ishu sana. Hela ndo za msingi. Kujisifia degree ni kizamani sn mkuu. Mi mwnyw na elimu yng maisha yananipiga vitasa vya uso kichizi yn. Bora hata ile miaka mi3 ya chuo, ningekuwa nipo kitaa nasaka noti.
Mtaje mmoja wapo, sasa matusi ya nini, unaweza kusema wapo ila siwajui Kwa majina.Mbona povu jingi au na we huna cheti cha la saba, mada inahusu elimu sio hela
Msanii wa papaHivi Gigy Money ni msanii wa nini jameni naskia yumo Fiesta?
Hivi yuko wapi huyu?!enzi zake ilikuwa nadra sana kutosikia habari zake mitaani na magazetiniSinta(wa nature enz hzo) ana degree au masters cna uhakika ni ipi.
Huyo naye nibongo movie?????JK COMEDIAN
ANA DEGREE MOJA YA MZUMBE, MOROGORO.
Ingzo jipya au sio, sjawah kukuonaKuna Mohammed mwikongi (frank) ana degree ya sheria sijui
Kuelimika na kutajirika ni vitu viwili tofauti. Ila elimu Mara jitihada inaongeza sana wigo wa kufanikiwa kimaisha. Ukiwa na elimu na ukiteseka kimaisha ujue Kuna baadhi ya nati haziko sawa up stairs.Kama wana hela, hizo degree sio ishu sana. Hela ndo za msingi. Kujisifia degree ni kizamani sn mkuu. Mi mwnyw na elimu yng maisha yananipiga vitasa vya uso kichizi yn. Bora hata ile miaka mi3 ya chuo, ningekuwa nipo kitaa nasaka noti.